Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

Uhuni ulisha malizwa ila umekuja upya kama corona tu
Pic%20Layer_2021111311215721.jpg
 
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.

Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Damu za mliowaua kwa kisingizio cha uzalendo feki zinawalilia na hamtabaki Salama mpaka mtembee na chupi kichwani.
 
Damu za mliowaua kwa kisingizio cha uzalendo feki zinawalilia na hamtabaki Salama mpaka mtembee na chupi kichwani.
Tena hao anaosema wahuni mbona marehemu ndio alikua anawafuga na kuwapa mishahara na facilities za serikali kama ofisi, magari na hata ulinzi?!!!

Hivi ni serikali gani yenye uadilifu inayoweza kuthubutu kumpa kazi ya "uheshimiwa" mtu kama Ole Sabaya Lengai au yule mwingine aliyekua anavamia vituo vya television kwa kutumia vyombo rasmi vya dola na kulazimisha maudhui yake yarushwe hewani huku pia akiwa anapita kwa wafanya biashara na kuwatisha wampatie pesa?!

Hivi kuna uhuni na uharamia zaidi ya kutoa amri na agizo raia wako asakwe kama digidigi na akipatikana apigwe risasi mchana kweupeee kisa anakosoa namna unavyoendesha nchi?

Hivi kuna uhuni kama kufanya upendeleo wa rasilimali za nchi na kuhakikisha watu wa kabila lako na sehemu unayotoka ndio inanayonufaika?
 
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.

Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Hii nchi watu wanatafuna haswa
 
Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.

Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Katiba mpya itaondoa wahuni
 
Sijaelewa mhuni ninani? Aliyewasifu bashite na sabaya wakifanya uhuni sio mhuni? Aliyeruhusu wanasiasa upinzani kushawishiwa kwarushwa warudi chama twawala na kupandisha cheo anayefanya hayo siyo mhuni? Aliyefunga a/c zawafanya biashara? Aliyejenga kwao kwanguvu,aliyebagua kaskazini,aliyeteua zaidi kandayake? Aliyefunga/kuteka/kutesa/kupoteza/kupiga risasi wanaompinga,aliyenyima watu haki zamishahara,aliyefukuza watu kazi hovyo,aliyetukana viongozi wenzie wapumbavu Nk.
Labda sijui maana ya kiongozi mhuni!!
Kunavijana wapumbafu wanaamini polipoli libaakili,wanamskiliza na naskia skuhizi anawafundisha uongozi. Niushauri wangu polipoli akatazwe kufundisha ujinga vijana huko mitandaoni. Aidha akasomee uongozi kwanza kwamaana anawapotosha vijana wengi kwa mwamvuli wa aliiongozaga Ccm!!!
Ambaye hakutaka kulipa madeni ya ndani biashara zikafa,
 
Yeye mwenyewe alikuwa mwizi na mpiga dili ndio maana alitumia cheo chake kuhonga mahawara zake nyumba za serikali wakati hawakuwa na sifa wala vigezo, alifanya ufisadi mkubwa katika manunuzi ya boti iliyokusudiwa kufanya safari zake kati ya bagamoyo na dar,akiwa rais aliamuru kutekelezwa kwa miradi mingi bila kuzingatia sheria ya manunuzi na pia akiwa rais ndiyo zilipotea pesa nyingi kupita ufisadi mwingine wowote uliowahi kufanywa toka nchi ipate uhuru kwani zaidi ya trilioni moja na nusu ziliyayuka kimiujiza,kwa ujumla lilikuwa jizi lilokubuhu.
Wewe ni mhuni mmoja wao umeguswa au?
 
Wahuni na Wapigaji kina Nyoka makengeza, Msoga Family, Home Shopping Centre now GSM, Papa Rostum Ziz, Gabacholi NJIMA and the like kosa kubwa kuwaweka karibu na Raslimali za Taifa tutakuja kuambulia mabua.
Hatar sana
 
Back
Top Bottom