DC Mstaafu Simon Odunga anaandika
Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata isipoandikwa Wala kusherehekewa.
Wewe JPM ndiye mtu pekee ambaye hakuweza kuvumilia mateso ya wananchi yanayosababishwa na upigaji ingawa kabla yako wapigaji ndiyo walionekana washindi, watu wema, waliobarikiwa, tena wenye akili kubwa, na sasa yanayoendelea ni yale yaliyopita kabla yako ambayo yaliumiza Sana Taifa hili.
Kurasa hazitatosha kuandika ulivyojitoa kwa ajili ya walio wengi. Rest in peace JPM, najua hakuna anayetaka kusikia ukizungumzwa kwa mazuri japo naamini utaendelea kuishi kwenye mioyo ya walio wengi.