Hayati Magufuli ni Carbon iliyopata Mgandamizo mkali ikawa Almasi ambayo itamkata yeyote yule akiishika kwenye makali yake imeanza na Lissu

Hii imeenda
 
Lisu kuna fuse ipo loose kidogo upstair.
fusi alikuwa nayo mbwa wenu magufuli ndio maana lilikuwa linaropoka kama chiz kaona jalala jipya likaiba uchaguzi tukamuomba Mungu aliuwe kweli akaliuwa lile chizi baada ya hapo likakutwa na dollar million 42.
 
Tukubaliane kama ambavyo niliwahi kusema, Upinzani wanaina hii unaokuja na vijihabari vya UZUSHI, ni wakupuuza na kamwe USIPEWE NCHI.


walipoona Hoja ya Pesa uchina, wameshindwa kuithibitisha, Wamekuja na na hoja ya Dola nyumban Kwa Magufuli

Ionekane kwamba, kumbe alikua hafichi nje ya Nchi, Bali NdaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.



NARUDIA kusema, Mwaka 2025, ili utobowe ni lazima ULITUMIE VEMA JINA LA HAYATI MAGUFULI !.
 
limagufuli lilikuwa jiz la hela za umma na kura, pia lilikuwa uwaji ndio maana Mungu akaliuwa.
 
yani watu magufuli aliyeuwa watu ndio atumike 2025 labda mpumbavu pekee ndio atatumia jina la huyo mpumbavu, kama alikuwa anakubalika kwanin alipora uchaguz wa 2019 na 2020, sukuma gang you should know that your era is out of date and your tyrant magufuli is now rotting to hell.
 
TL,ni msumeno,umewagusa S.Gang,kelele chungu nzima,na bado mengi tu maovu yatafunguliwa,na nabii huyu .
 
Atausema huo ukweli lkn mwisho wa siku hataambulia uungwaji mkono ambao ndio lengo kuu la mikutano yake...hawezi kushindana na upepo wa hayati akashinda..
Bora asiungwe mkono na waliobrainwashed wa leo, lakini Taifa lijalo lijielewe lipone

Lissu hana shida ya madaraka, yeye anaamsha Taifa lijielewe
 
Nonsense
 
uzi wako nauharibu kwa style hii......magufuri ndie alituma watu wakampige risasi 16 lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…