The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hii imeendaIko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie
Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote
yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani
Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake