Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dada wala huna haja ya kupaniki. Sasa ili muishi inabidi mtafute na nabii mwingine. Huyu abaki kuwa nabii au mtakatifu aliyekuwepo.au mungu amerudi enzini. Sasa nyinyi wafuasi wake mtuambie ibada zake mnafanyia wapihata baada ya kufariki unadhani wataendelea kumwabudu ili wapate kitu gani???
badilika wewe taahira.
Manabii wamekuwa wengi sana jana Afande Sele nae katangaza kuwa anakuwa Nabii wa MgombaNianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati.
tuliza kiuno antie komeo.Dada wala huna haja ya kupaniki. Sasa ili muishi inabidi mtafute na nabii mwingine. Huyu abaki kuwa nabii au mtakatifu aliyekuwepo.au mungu amerudi enzini. Sasa nyinyi wafuasi wake mtuambie ibada zake mnafanyia wapi
Wenye stroke ambao walitenguliwa kiuniokulinusuru taifa ambalo lilikuwa shamba la Bibi hawawezi kuelewatuliza kiuno antie komeo.
wenzako hatutegemei hisani ndipo tuishi,utatuona tena hapa hapa,tukiendelea na harakati za kusifia mazuri ya utawala mpya.
huku ukiendelea kutaabika na stroke yako.
Na wewe unaabudu bangi kama Afande Sele ? hivi nabii anawezaje kuwa kama alivyokuwa Marehemu ? Endeleeni kumtukana Mungu malipo yenu mtayapataWana Jf
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati....
Tunaposema wazungu sio wote wanyonyaji, uelewa bus ukiwakumbatia nibsawa Na kuwa bumunda lisilokuwa Na chembe ya akili, waache kutunyonya uuone kama hatutaenxelea. Usimchukie Nabii MagufuriHuu ni upumbavu ambao wamekuwa nao waafrika wengi sana. Na unafiki mkubwa. Wanasema wanawachukia wazungu huku wakitumia asilimia 80 ya bidhaa zao. Sijaona mimi kiongozi ambaye akiumwa sababu ya chuki zake kwa wazungu anaamua akalazwe kwa mganga wa kienyeji bagamoyo au tanga...
Sasa praise and worship tuhamishie kwa Rais mpya. Maana hali yenu inakuwa ngumu. Mnafiki hana dini,hana jinsia,hana loyalty, sasa andaeni tena viuno vyenu... Tuone ukatikaji wenu... Najua kwa mwanamke mwenzenu hamtakatika sana. Ila sisi yetu macho...😂😂😂😂😂tuliza kiuno antie komeo.
wenzako hatutegemei hisani ndipo tuishi,utatuona tena hapa hapa,tukiendelea na harakati za kusifia mazuri ya utawala mpya.
huku ukiendelea kutaabika na stroke yako.
hilo na unafiki unalijua wewe.Sasa praise and worship tuhamishie kwa Rais mpya. Maana hali yenu inakuwa ngumu. Mnafiki hana dini,hana jinsia,hana loyalty, sasa andaeni tena viuno vyenu... Tuone ukatikaji wenu... Najua kwa mwanamke mwenzenu hamtakatika sana. Ila sisi yetu macho...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia mama....tulia. haya mambo hayataki hasira. Ni kuhamisha tu unafiki. Hamishia sehemu nyingine ambayo itakusaidia kupata vijicent... Nyie wanawake wa hivi huwa hata waume hampati.maana hamuaminiki kamwe. .... Just cool down sweetie. Calm down 😁😁😁😁hilo na unafiki unalijua wewe.
kama magu uliponda bado kwa samia nako unaponda,unataka mimba ndio ukitulize!!!!
sisi tunaangalia kazi mama,hatuna muda na ujinga wenu sijui demokrasia ambayo hata hapo kwenu ufipa imewashinda kuisimamia.
mama akifanya kazi tutasifu tu,bila kujali wewe kuku mmoja unasemaje.
ita vyovyote,maana umeshaanza kuona hakuna tumaini hata kwenye kile kinachokufanya ufurahie kifo cha jpm.Tulia mama....tulia. haya mambo hayataki hasira. Ni kuhamisha tu unafiki. Hamishia sehemu nyingine ambayo itakusaidia kupata vijicent... Nyie wanawake wa hivi huwa hata waume hampati.maana hamuaminiki kamwe. .... Just cool down sweetie. Calm down [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Just calm down... Sawa... Usipanic calm down. Haya mambo huwa hayataki hasira. Calm down. Kunywa maji baridi au juice.. au maziwa. Then njoo hapa nikuelekeze mambo ukiwa umetulia na hiyo hali imekutoka.ita vyovyote,maana umeshaanza kuona hakuna tumaini hata kwenye kile kinachokufanya ufurahie kifo cha jpm.
toka upate huyo mume na anakuacha unazurula kwenye mikutano na mwenyekiti,kuna usalama kweli kwenye hiyo ndoa!!!
sisi tutaendelea na harakati za kuijenga tanzania,nyinyi makahaba wa kisiasa sijui mtaeleza nini wananchi maelfu wenye hasira ya nchi yao kama wale walioko taifa!!!!!
unaacha kumsihi yule dalali wa wenu aliyekimbilia kwa wanunuzi kule ubelgiji aache mapovu unakuja kujitia kiherehere kwangu!!!Just calm down... Sawa... Usipanic calm down. Haya mambo huwa hayataki hasira. Calm down. Kunywa maji baridi au juice.. au maziwa. Then njoo hapa nikuelekeze mambo ukiwa umetulia na hiyo hali imekutoka.
Usipaniki. Ni mbaya hata kiafya...dont ever panic. Its bad. Then nakutuliza unashusha moyo. Tuendelee kumuunga mkono Mama Samia. Safari hii tuache Unafiki na kujipendekeza. Tuijenge nchi yetu Tanzania.
Kwa kigezo lipi? Unajua maana ya nabii na kazi anayofanya nabii? Kabla ya kukurupuka na kutumia maneno mtafute kwanza na maana yake!Ni kweli huyu mtu alikua nabii
Unaijuanbiblia wewe? Mussa aliua wangapi? Aliua maelfu kwa maelfu na bado mnamuita nabii[emoji57][emoji57][emoji57]Sawa ila ulipokopi uzi wako ungeomba mtu mwingine akufanyie paragraph setting ndipo upachike hapa...
Siyo Musa tu, hata Nabii Eliya aliuwa manabii wa uwongo wa Baali. Wewe kama ni msomaji wa Biblia na kuielewa unajuwa vema kwa nini hao manabii waliuwa. Usimsahau na Daudi, alimwua Goliath. Na Mungu alikuwa upande wao siku zote.Unaijuanbiblia wewe? Mussa aliua wangapi? Aliua maelfu kwa maelfu na bado mnamuita nabii[emoji57][emoji57][emoji57]
Mfundishe huyu bwana aweze kuelewa, watanzia wanalia huko, wanahuzunika.Unaijuanbiblia wewe? Mussa aliua wangapi? Aliua maelfu kwa maelfu na bado mnamuita nabii[emoji57][emoji57][emoji57]
Kwa akili hizi nahisi hata mimi ningekua rais ningeuaWe jamaa,kama ni mahaba yamezidi sana,hizi lugha za kuita watu mabeberu,zilikuwa zinamaana kwenye vuguvugu la ukombozi miaka ya 60! Sio leo hii karne ya 21...
Mugabe na NkurunzinzaMugabe pia hakuogopa vigingi vya mabeberu.
Tusimsahau Mugabe.
Muuaji kafia madarakani, Mungu kaona hii ilikuwa too Much.Kwa akili hizi nahisi hata mimi ningekua rais ningeua