Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

title ya mandela ilikua backed up na nyerere, kuna uwezekano mkubwa pasipo nyerere basi mandela asingekuaga kwenye african politics known

Thubutu, hapa nchini kwetu kutokana na propaganda za kijamaa, ndio tulikuwa tuna muovarate Nyerere, lakini hakuwa na jina kubwa la hivyo worldwide. Tembea ndio utajua sifa tulizokuwa tunampa Nyere zilikuwa mwisho Chalinze.
 
Ndiyo asante JPM ! ... Tatizo linaanza na mahubiri zushi ya mpasuko ... Tz hatuna mpasuko wwte.
 
Hadithi aliyoandika Magufuli watanzania wanaijua....hawahitaji simulizi yako!

Ameacha taifa lilogawanyika kutokana na utawala wake mbaya usiozingatia katiba uliojaa udikiteta.

Ameacha taifa lilogawanyika kutokana na siasa za chuki za kuwagawa watanzania.

Ni kweli alikuwa ameanza kujenga miundombinu kwa kutumia kodi za watanzania,tena zingine za dhuluma lakini hata wakoloni wa kijerumani na kiingereza walijenga miundo mbinu mingi tu tena kwa pesa zao,siyo kodi za zetu. Kwa mfano,walijenga reli ya Dar-Tabora-Kigoma/Mwanza.
 
Hizo ni achievements za kawaida sana na nyingi za miradi ni za kumalizia walipoanza watangulizi wake hususan JK na BWM. Yeye zake ni Stiglers, SGR, Mandege na Busisi.

Lakini kuna mafanikio makubwa ambayo watangulizi wake waliyapata bila kuua watu, kudanganya, kutolipa increments za wafanyakazi.

MAUJINGA ya mwendazake ni mengi kuliko anayodaiwa ameyafanya
 
Nimekutajia na soko la SADC na East Afrika nalo mbona hatujaendelea?
Labda hujafanya utafiti kuona jinsi gani Tanzania inavyoyatumia masoko ya SADC na EAC kiukamilifu. Tanzania ndio nchi pekee inayozalisha na kuuza vyakula kwa wingi kuliko nchi yeyote ndani ya SADC na EAC. Ndio nchi pekee inayotumia lango lake la bahari, ardhi, anga kuunganisha nchi kati ya Kusini na mashariki mwa Africa. (hatufanyi kwa bure, tuna lamba kilicho chetu, asante kwa rada, upanuzi wa bandari, na barabara za kwenda mipakani).

Lakini tukija kwenye masoko kama ya Ulaya au Marekani, hali inakuwa tofauti. Bila kucheza mziki wao hayo masoko yanakuwa magumu kuingia. Na mziki wenywe unakwenda hivi... wawekezaji lazima waje kutoka kwao na wazalishe kwaajili ya masoko yao huku mzawa mkiambulia kodi kiduchu tena bila ajira ya maana. Na ndio maana nikasema kama sio wazungu kama PW Botha kuishi SA, miundo mbinu ya SA ingekuwa kama nchi nyingine ya waafrika weusi.
 

Kwasababu Tanzania nayo inafaidika na hilo soko kubwa la EA na SADC, je tunawafikia hao South Afrika?
 
Yote haya kaongea mzee Mwinyi?
 
Kwasababu Tanzania nayo inafaidika na hilo soko kubwa la EA na SADC, je tunawafikia hao South Afrika?
Mfano mwepesi ni sawa kuingia uwanja kwenye mechi ya soka na timu moja inapendewa na refa, unadhani utashinda hiyo mechi? Kama Wote tungepewa fursa sawa kama ilivyo kwa nchi zilizokuwa zinatawaliwa na wazungu, labda na sisi tungekuwa mbali. Chukulia Korea ya kusini na kaskazini, SK wanapewa fursa zote na wanazitumia kikamilifu, NK hawana hiyo fursa. Je unaweza kuwashindanisha?
 
Ukifungua hadithi ya kaburu Pieter Botha wa Afrika kusini ni ya juu kuliko hiyo ya Magufuli kwenye miundombinu, lakini Mandela ndiye anayechukuliwa kama rais bora wa Afrika kusini bila kujenga mradi wowote.
Aisee nimekuelewa sana jombaa moyo ya binadamu inabeba vingi
 
Thubutu, hapa nchini kwetu kutokana na propaganda za kijamaa, ndio tulikuwa tuna muovarate Nyerere, lakini hakuwa na jina kubwa la hivyo worldwide. Tembea ndio utajua sifa tulizokuwa tunampa Nyere zilikuwa mwisho Chalinze.

Mbowe njoo skiliza watu wako huku πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tuondolee ushuzi wako hapa
 
Mfuate huko aliko
 
Sina muda wa kuandika sana, ila ndugu zangu nawaambieni nimechoka sana na nyie mnaokaa na kusifu aliyofanya magufuli kwa walala hoi. Nahisi ndugu zangu mnazungumza maendeleo ya macho na sio maendeleo kwa manufaa ya watu wote.

Kila siku oh uwanja wa ndege pamoja na kufufua shirika la ndege: Jiulizeni ni walala hoi wangapi wamenufaika na hilo? walala hoi wangapi wanaweza kusafiri kwa ndege kwa safari za ndani tu wachilia za nje ya nchi? Mradi huu mzima ni wa kuwanufaisha wenye nacho na sio wasio nacho

Kila siku oh barabara na fly over: Hivi ni mlala hoi gani anaenufaika na hili? barabara zimejengwa kuwanufaisha wenye magari ya 4x4 na magari mengine ya kifahari sio kwa manufaa ya wanyonge. Magari a fly overs zimejengwa ili kuwarahisishia usafiri wa ardhi kwa walio nacho, waondokane na misongomano mitaani. Mlala hoi hawezi kumiliki kupanda boda boda au dala dala kila siku kwenda na kurudi kazini, barabara hizi zimemnufaisha vipi?

Oh mabasi ya mwendo kasi: Ni walala hoi wamepoteza kipato chao cha siku kwa vile sehemu zote zile watu wanapendelea mabasi ya mwendo kazi badala ya boda boda na dala dala. Mfumo mzima wa mabasi ya mwendo kasi ni kuwaondoa walala hoi barabarani wakitumia daladala na boda boda ili matajiri na magari yao waweze kusafiri kiulaini kabisa.

Nitasita hapa sina muda zaidi, kazi ni nyingi. Ila ningeliwataka watanzania wenzangu muangalie haya mnayosema maendeleo aliyoyafanya magufuli kwa jicho la pili, ni nani hasa ananufaika na kila alilolifanya?
 
Uzi bora wa Millennium hongera sana ndugu mwandishi mungu akuongezee hekima na shukrani, sasa nikusubiri muda uje useme wenyewe na wakae wakijua watanzia sio wajinga, ukiona moshi unafuka......,
 
Hizi hela alizokuwa anagawa mabarabarani zilipitishwa na nani kwa kazi hii? nisaidie kwanza ndipo tujadili.View attachment 1749536
Inamaana rais hapaswi kuwa na pesa yake? Anapokea mshahara kiasi gani? Unadhani yeye ana mioyo kama yenu ya kujilimbizia mali? Unadhani na yeye hakuwa na huruma kama nyie? SUBIRI MUDA UTASEMA!
 
Hizi hela alizokuwa anagawa mabarabarani zilipitishwa na nani kwa kazi hii? nisaidie kwanza ndipo tujadili.View attachment 1749536
Inamaana rais hapaswi kuwa na pesa yake? Anapokea mshahara kiasi gani? Unadhani yeye ana mioyo kama yenu ya kujilimbizia mali? Unadhani na yeye hakuwa na huruma kama nyie? SUBIRI MUDA UTASEMA!
Mwizi ni mwizi JPM ameumbuka sana na kuzarauliwa
Mtasubiri sana legacy ya huyu mwamba kupotea. Mkitaka tumsahau fanyeni mazuri zaidi yake tuwasifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…