Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na nia na uwezo wa kusimama imara maana vikwazo ni vingi sana na wengi hawataki kuona Tanzania imefika sehemu flani.
Hii ina wezekana kupitia miradi ya kimkakati ambayo inaweza kubadilisha direction ya uchumi wa Tanzania
Mfano
1. Mradi mkubwa wa gas (Mtwara gas plant) huu una hitaji mkataba MNZURI SANA sababu huu mradi ndo wa kututoa hapa tulipo, tena kama inawezekana tuweke pesa ili tupate percentage kubwa zaidi ya faida kwenye mradi huu.. Na isiwe kama miradi ya gas iliyopita mnaweka pesa lakini percentage kubwa wanachukua investor halafu sisi tunaachwa na maisha magumu, hii hapana hatuta kubaliana na wewe hata kidogo mkataba lazima uwe unatupa nchi faida zaidi
2. Mradi mwingine ni kumalizika kwa sgr, huu afanye juu chini ila mpaka 2030 bhas awe amemaliza. Hii itampa legacy kubwa sana kwamba alimkuta mwenzake train hazijaanza hata kupita ila yeye mpaka kigoma tumefika.
Na hii itakuza uchumi sana sana, kwanza huu mpaka Afcon 2027 tuwe tumefika mpka mwanza. Hii itatuwezesha kwenda Kenya & Uganda kwa sgr plus ile meli ya mpya ya mwanza..hata majiran na wageni wengine wakiwa wanakuja waone Tanzania wako serious na viongozi wake wanafanya kazi.!
3. Mradi mwingine ni reli ya sgr mtwara..reli ya mtwara nimeona ni PPP sio mbaya maana mpaka sgr hii ya kigoma iishe tutakuwa na madeni yakutosha ila mkataba uwe mnzuri tu ile mikataba ya enzi za ujima hapana aisee hatuitaki. Miaka ijayo tutakuwa tunawataja viongozi wote waliotuingiza kwenye mikataba mibovu kwahyo usijiharibie jina wakati mwenzako (Magufuli) alituaminisha kuwa tumetoka uko.
4. Reli ya tazara kuwa sgr, hii ni muhimu aisee yani mwenzako alianzisha sgr halafu wewe uturudishe nyuma tutakuona wa ajabu halafu hii ina umuhimu sana sababu tayari Marekan & ulaya wako serious na lobito corridor yani tukiwa hatupo makini hata bandari zetu zitakosa mizigo maana kuna south na bandari zake ziko advance, Namibia hapo plus mozambique hawa ndo wamekuwa wa moto sana sikuhizi yani sisi tu ndo bado tuko nyuma,.. ila me bado niko na hope serikali itafanya kitu maana soko la DRC south ni muhimu sana kwetu kwa ustawi wa bandari zetu..
Halafu ushauri TAZARA na Mtwara sgr ziungane (zikutane mwishoni kule) ili tupunguze mzigo kwa bandari ya Dar, meli nyingine ziwe zinakwenda moja kwa moja bandari ya Mtwara then zinaingia reli ya Mbambabay zinakutana na Tazara bila kupanda na kushusha mizigo then moja kwa moja mpaka zambia & Congo tukiwa serious hata Angola tutafikisha bidhaa za azam & mo 😁 hence tunakuza viwanda vya nyumbani na ajira zinaongezeka
5.Mradi mwingine ni Bagamoyo port, hii bwana wa Tanzania watakutukana sana tu 😁 sababu Magufuli alishawaaminisha kuwa mkataba haufai (ni kweli ulikuwa haufai) lakini mkataba ukiletwa ni wa mazungumzo sio tunapokea tu , muhimu kunegotiate kama bado utakuwa mbaya bhasi achana na port ya 10 B yenye maviwanda anza kidogo kwa kuweka bandari kama bandari najua haiwezi kuwa gharama sana. Ukweli ni kwamba dar port haitoshi nilikuwa na check mombasa port, nikaenda kucheck na ile ya Durban aisee hii ni aibu cha kwetu hakiwezi kutoboa kabisa yani tena na hizo sgr ndo kabisa meli zitakuwa nyingi kwenye foleni hapo zinasubiri kushusha mizigo.
Halafu tunataka kumpora uganda kutoka kenya na Dar port wakati kina tu hakiruhusu mimeli mikubwa na ya kisasa zaidi 🤦🏾♂️
Bagamoyo port ni lazima aisee roho inaniuma sana nikiwa napita maeneo ya kunduchi unaona meli nyingi zipo foreni zinasubiri kuingia bandarini wakati tuna uwezo wa kujenga nyingine tena yenye uwezo mkubwa wa kupunguza kero za Dar port kwa majirani zetu.
Tanzania tupo location nzuri sana kwa majirani kutumia bandari zetu kwa percentage kubwa zaidi kuliko ilivyo sasa lakini ndo hivyo hatupo serious kibiashara🤦🏾♂️ tunaamini tuna madini na vitu vingine vya thamani so tuna ile ya kujipa moyo kuwa tutatoboa tu, lakini ni miaka 60 sasa ya uhuru ila bado uchumi wetu ni chini ya 100B na hao majirani wanaboresha vya kwao sisi tupo tu hatutumii advantage ya kigeographia
Ukiachana na miradi mikubwa hapo juu sekta ya kilimo na utalii zina uwezo mkubwa sana wakubadilisha maisha yetu..hizi tuko vinzuri ingawa tumechelewa lakini tunakwenda vinzuri maana naona president anaweka mkazo. Muhimu pia kuboresha sera za viwanda na uwekezaji hizi pia zinaitaji na umeme wa kutosha ambao kwasasa tunajitosheleza muhimu kutoishia hapa na kuendeleza vyanzo vingine kuhakikisha hata mabadiliko ya hali ya hewa yakitokea bhasi wananchi pamoja na viwanda havipati impact kubwa.
Mtanisamehe mimi sio mwandishi mnzuri ila naamini ujumbe utakuwa umeeleweka.