Ni hivi, Mobutu hakuwa na haja ya silaha mpya kwa wakati wowote ule, kwani alipoingia madarakani alitokea jeshini. In fact ni Wabelgiji ndio walio mpandisha cheo na kuwa mkuu wa jeshi la Belgian Congo baada ya kukamilisha mauaji ya Komredi Patrice Lumumba mwaka 1960. Hivyo kimsingi hakuwa na mahitaji yoyote ya silaha mpya, kwani jeshi lilikuwa nazo.Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?
Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?
Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
Ni kweli ila kwa wakati huo, mizigo, kama vile silaha za Jeshi la Zaire chini ya Mobutu, zilikuwa zikiletwa moja kwa moja kwa midege kutoka Ubelgiji. Kwa sasa DRC wanaweza kutumia, infact wanatumia, bandari yetu ya Dar-es-Salaam; ingawa kwa siku zijazo, wanaweza kutumia hata zile zilizoko Ziwa Tanganyika ukutilia maanani ujenzi wa SGR.Bandari kuu ya Matadi iliyoko bahari ya Atlantic.Nchi ya Congo kupitishia mizigo na bidhaa zake katika bandari za nchi za majirani zake inatokana na jiografia ya nchi hiyo,ukizingatia ukubwa wa nchi hiyo na huchangiwa pia na ubovu na uhaba wa miundo mbinu ya usafiri kwenye nchi hiyo.Kwa mfano kutoa mzigo bamdari ya Matadi kuupeleka Lubumbashi au Goma ni ni kasheshe kuliko kutoa mzigo huo bandari ya Dar es Salaam.