Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 304 Reaction score 1,054 Sep 20, 2024 #1 “DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa Mwalimu Julius K Nyerere (1922 - 1999)
“DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa Mwalimu Julius K Nyerere (1922 - 1999)