Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar,Thabit Kombo,Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka kuvunja muungano,
Ikapigwa figisu Aboud Jumbe akapokwa kadi yake ya CCM na kupoteza Urais,akarithiwa na Ali Hassan Mwinyi.
Sasa mwaka 1985 Nyerere alitaka kumrithisha nchi kijana wake Salim,alichofanya ni kupandikiza wagombea namluki wawili,Rashid Kawawa na Ali Hassan Mwinyi wachuane na Salim .
Mchakato ulipokaribia mwisho akamwambia Kawawa ajitoe,yule mzee wa watu alikuwa mtiifu sana kwa Mwalimu,akatii akajitoa,
Akamwendea Ali Hassan Mwinyi ili ajitoe,Mwinyi akagoma,majina yakabaki Mawili,Salim na Mwinyi,wazanzibar wakamwambia Mwalimu kuwa hawamtaki Salim yeye ni Hizbu na anajiona mwarabu zaidi,hajawahi kuyapongeza mapinduzi ya 1964 na inasemekana alishiriki mauaji ya Karume ,wakasena chaguo lao ni Mwinyi,

Mwinyi akapita uchaguzi mkuu akapata ailimia 92.
Kwa nini nasema alifanya kitu kizuri,Salim na Nyerere akili zao zilikuwa moja wanasiasa wazuri lakini wajamaa sana ,wanachukua ubeparu na matajiri ni kama akili za JPM.
Kipindi mwinyi anachukua nchi,ilikuwa kawaida kuona tako la mti mzima kutokana na suruali kuchanika kwa ukosefu wa nguo,sabuni sigara,sukari,bia,kiberiti,mafuta ya taa,ilikuwa ni anasa,na ungekutwa navyo kuliko kiwango kilichowekwa ni jela na ungepewa kesi ya kuhujumu uchumi.
Ukitaka kununua gari lazima uombe kibali,hata petrol lazima ununue kwa kibali,uchaguzi wa 1985 kampeni zake zilianza october 14 badala ya october 7 kutokana na uhaba wa mafuta nchini.Mwinyi baada ya kushika nchi alibadili kila kitu cha Nyerere,nchi ikafunguka mabilionea wapya wakazaliwa bidhaa zikajaa madukani,...kwa mara ya kwanza kombe la dunia tukaliona live tukiwa sebuleni kwetu,kuvaa viraka ikawa ni ulofa,wasanii wa njw wakaanza kumiminika nchini,Bongoman na chakachaka walipikuja nchini kiingilio ilikuwa laki moja .laki moja ndio,nilikuwa mdogo ila mengi nayakumbuka na mengine niliambiwa na wazee wangu

Itaendelea...
Sasa jpm amefata nini hapo wewe pusi..
 
Itaendelea..

Mwizi anachukia wez wenzie? Umesahau habari ya kivuko cha bagamoyo? Umesahau zile nyumba ziligawiwa mahawara? Umesahau yule jamaa alikuwa Tanroads Ars akapelekwa bandari? Umesahau Mayanga construction? Umesahau CAG aliyebainisha 1.5T alivotimuliwa? Etc etc.
Watoto wangu, wameanza kufundishwa shule somo la historia ya Tanzania, they are real enjoying!! Imagine mtoto wa darasa la tatu anaiongelea nchi yake Kwa mapenzi makubwa.

Kupitia Uzi huu, na nyingine nyingi nimetamani kujua vitu vingi zaidi vilivyoihusu Tanzania na viongozi wake.
Curriculum developers.... Naamini kuna vitu mnavipata, mfanyie utafiti...watoto wetu wapate kujua nchi yetu pendwa zaidi.
 
JPM hajawahi kuchukia matajiri,bali alichukia wezi wa mali ya umma hasa watumishi wa umma waliojilimbikizia mali kwa njia ya udanganyifu,wakwepa kodi
Hukumjua wewe jiwe mpaka anatoka duniani hakuna hata siku Moja kaonyesha wapi wamehujum zaidi ya kutudanganya tu wahujum uchumi leo hata mahakama ya mafisadi imekufa Kama alivyokufa mwenyewe.
 
Mwinyi alikuwa ndiyo chaguo la Nyerere. Mengine ni porojo tu.
Siyo kweli. Hata baada ya mzee Mwinyi kuwa rais Nyerere alionesha chuki za waziwazi kwa mzee Mwinyi , akawa anatoa maneno ya kejeli muda wote.

Hata jibu la mzee Mwinyi la "mm ni kichuguu, Nyerere ni mlima Kilimanjaro" lilitolewa baada ya waandishi wa habari kumuuliza kuhusu kejeli za Nyerere dhidi yake
 
Hukumjua wewe jiwe mpaka anatoka duniani hakuna hata siku Moja kaonyesha wapi wamehujum zaidi ya kutudanganya tu wahujum uchumi leo hata mahakama ya mafisadi imekufa Kama alivyokufa mwenyewe.
Wengine wameiba 213 million huko Tarime Halmashauri na kugawana in two days, jiulize wale tusiowajua mpaka leo wamechota ngapi
 
Nimesikia Mzee Waryoba akisema kuwa lilikuwa na majina matatu:
1.Rashid Kawawa
2.Salim Ahmed Salim
3. Joseph Sinde Waryoba

Akadai kwamba Kawawa alijitoa akabaki yeye na Salim (Majina mawili) Mwisho anasema alishangaa kuona jina la !teuliwa kugombea Urais ni Ali Hassan Mwinyi
 
Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar,Thabit Kombo,Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka kuvunja muungano,
Ikapigwa figisu Aboud Jumbe akapokwa kadi yake ya CCM na kupoteza Urais,akarithiwa na Ali Hassan Mwinyi.
Sasa mwaka 1985 Nyerere alitaka kumrithisha nchi kijana wake Salim,alichofanya ni kupandikiza wagombea namluki wawili,Rashid Kawawa na Ali Hassan Mwinyi wachuane na Salim .
Mchakato ulipokaribia mwisho akamwambia Kawawa ajitoe,yule mzee wa watu alikuwa mtiifu sana kwa Mwalimu,akatii akajitoa,
Akamwendea Ali Hassan Mwinyi ili ajitoe,Mwinyi akagoma,majina yakabaki Mawili,Salim na Mwinyi,wazanzibar wakamwambia Mwalimu kuwa hawamtaki Salim yeye ni Hizbu na anajiona mwarabu zaidi,hajawahi kuyapongeza mapinduzi ya 1964 na inasemekana alishiriki mauaji ya Karume ,wakasena chaguo lao ni Mwinyi,

Mwinyi akapita uchaguzi mkuu akapata ailimia 92.
Kwa nini nasema alifanya kitu kizuri,Salim na Nyerere akili zao zilikuwa moja wanasiasa wazuri lakini wajamaa sana ,wanachukua ubeparu na matajiri ni kama akili za JPM.
Kipindi mwinyi anachukua nchi,ilikuwa kawaida kuona tako la mti mzima kutokana na suruali kuchanika kwa ukosefu wa nguo,sabuni sigara,sukari,bia,kiberiti,mafuta ya taa,ilikuwa ni anasa,na ungekutwa navyo kuliko kiwango kilichowekwa ni jela na ungepewa kesi ya kuhujumu uchumi.
Ukitaka kununua gari lazima uombe kibali,hata petrol lazima ununue kwa kibali,uchaguzi wa 1985 kampeni zake zilianza october 14 badala ya october 7 kutokana na uhaba wa mafuta nchini.Mwinyi baada ya kushika nchi alibadili kila kitu cha Nyerere,nchi ikafunguka mabilionea wapya wakazaliwa bidhaa zikajaa madukani,...kwa mara ya kwanza kombe la dunia tukaliona live tukiwa sebuleni kwetu,kuvaa viraka ikawa ni ulofa,wasanii wa njw wakaanza kumiminika nchini,Bongoman na chakachaka walipikuja nchini kiingilio ilikuwa laki moja .laki moja ndio,nilikuwa mdogo ila mengi nayakumbuka na mengine niliambiwa na wazee wangu

Itaendelea...
Uongo mtupu! Mwinyi aliwekwa pale na Nyerere - full stop. Enzi hizo hakukuwa na kinachoitwa leo kumgomea Mwenyekiti
 
nadhani ungesema siamini ingekuwa sahihi zaidi kuliko kusema uongo mtupu. Michakato ya kupata mgombea ndani CC ina behind the scene nyingi ambazo wengi hatuzijui au tunazijua ndivyo sivyo ila wale waliohusika kuratibu au kufanikisha wana facts sahihi. sasa wakitaka kufunguka tusiwabeze bali tuwasikilize then tutakua na haki ya kuamini au kutoamini kutokana na utashi wetu.
 
Kuendesha gari jumapili ilikuwa marufuku pasipo kuwa na kibali maalumu .

Kuna wakati watu walitupa tv zao kuepuka kukamatwa uhujumu uchumi nafikiri Hata smartphone au laptop zingekuwepo ingekuwa marufuku ,nikiangalia Picha za Miaka ya mwanzoni ya 80 nguo tulizovaa za utotoni unaweza kusema ni kwa Kim jong .

Mzee Mwinyi akaja na sera ya inaitwa Ruksa .
 
nadhani ungesema siamini ingekuwa sahihi zaidi kuliko kusema uongo mtupu. Michakato ya kupata mgombea ndani CC ina behind the scene nyingi ambazo wengi hatuzijui au tunazijua ndivyo sivyo ila wale waliohusika kuratibu au kufanikisha wana facts sahihi. sasa wakitaka kufunguka tusiwabeze bali tuwasikilize then tutakua na haki ya kuamini au kutoamini kutokana na utashi wetu.
Unaongea CC ya leo, lakini mtoa mada anazungumza CC ya wakati huo. Wakatiu huo hakukuwa na mtu "kujitokeza" kugombea bali alikuwa "anateuliwa" kugombea.
 
Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar,Thabit Kombo,Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka kuvunja muungano,
Ikapigwa figisu Aboud Jumbe akapokwa kadi yake ya CCM na kupoteza Urais,akarithiwa na Ali Hassan Mwinyi.
Sasa mwaka 1985 Nyerere alitaka kumrithisha nchi kijana wake Salim,alichofanya ni kupandikiza wagombea namluki wawili,Rashid Kawawa na Ali Hassan Mwinyi wachuane na Salim .
Mchakato ulipokaribia mwisho akamwambia Kawawa ajitoe,yule mzee wa watu alikuwa mtiifu sana kwa Mwalimu,akatii akajitoa,
Akamwendea Ali Hassan Mwinyi ili ajitoe,Mwinyi akagoma,majina yakabaki Mawili,Salim na Mwinyi,wazanzibar wakamwambia Mwalimu kuwa hawamtaki Salim yeye ni Hizbu na anajiona mwarabu zaidi,hajawahi kuyapongeza mapinduzi ya 1964 na inasemekana alishiriki mauaji ya Karume ,wakasena chaguo lao ni Mwinyi,

Mwinyi akapita uchaguzi mkuu akapata ailimia 92.
Kwa nini nasema alifanya kitu kizuri,Salim na Nyerere akili zao zilikuwa moja wanasiasa wazuri lakini wajamaa sana ,wanachukua ubeparu na matajiri ni kama akili za JPM.
Kipindi mwinyi anachukua nchi,ilikuwa kawaida kuona tako la mti mzima kutokana na suruali kuchanika kwa ukosefu wa nguo,sabuni sigara,sukari,bia,kiberiti,mafuta ya taa,ilikuwa ni anasa,na ungekutwa navyo kuliko kiwango kilichowekwa ni jela na ungepewa kesi ya kuhujumu uchumi.
Ukitaka kununua gari lazima uombe kibali,hata petrol lazima ununue kwa kibali,uchaguzi wa 1985 kampeni zake zilianza october 14 badala ya october 7 kutokana na uhaba wa mafuta nchini.Mwinyi baada ya kushika nchi alibadili kila kitu cha Nyerere,nchi ikafunguka mabilionea wapya wakazaliwa bidhaa zikajaa madukani,...kwa mara ya kwanza kombe la dunia tukaliona live tukiwa sebuleni kwetu,kuvaa viraka ikawa ni ulofa,wasanii wa njw wakaanza kumiminika nchini,Bongoman na chakachaka walipikuja nchini kiingilio ilikuwa laki moja .laki moja ndio,nilikuwa mdogo ila mengi nayakumbuka na mengine niliambiwa na wazee wangu

Itaendelea...

Umensingizia Salim, yeye ndiye aliyefungua nchi 1982, maana alikuwa Waziri Mkuu na akaanza kuruhusu vitu ndipo tukaanza kuvaa ndala, viatu vya Bata etc
 
Tusisahau pia ni wakati wa Mzee wetu Mwinyi ndipo ufisadi ulianza...Mke mmoja wake alianza biashara na waarabu jambo ambalo lilikuwa ngeni Tanzania...Mpaka Baba wa Taifa akakemea kwamba hatutaki watu wanaooanga vitu na wake zao kisha wanakuja ku implement
 
Upo sahihi lakini umeongeza chumvi sana. umelemewa na upendo kwa marehemu kiasi kwamba una adjust fact ili ziendane na kile unachokitamani adhira waamini.
Ni kweli Salim ndiye lilikuwa chaguo la Nyerere
Pengine neno sahihi ni kuwa Mwinyi alimgeuka nyerere.
Alimgeukaje! Ilikuwaje Nyerere mwenyewe akapendekeza jina la mwinyi kwenye Kikao, Why Nyerere alitaka Dr Salimu awe mgombea? Kawawa ilikuaje hakuwa mrithi! hapo sasa ndio pana story ambayo wanao ijua ni wachahache na hawataki kuileza au wanaipotosha. Sasa kama wewe unaijua ilivyo na una utayari wa kutu elimisha please tupe facts pasipo kuweka hisia zako wala kuwa biase.
Tafadhari niwie radhi kama comment yangu itakukwaza
Sidhani kama kuna 'aliyemgeuka' au 'aliyemgomea' mwenzake. Ikumbukwe mpaka wanaenda katika vikao vya juu, jina la kutoka Zanzibar lilikuwa la Mzee Salim A. Salim. Na pia ndani ya CCM kuna Kamati Kuu (ndogo) ya CCM Zanzibar ambayo wana maamuzi kuhusu jambo mahususi linalohusu Zanzibar; hawa ndiyo waliopendekeza kuondoa jina la SAS. Na ikumbukwe pia Mzee AHM alikuwa tayari Rais wa SMZ na hakuwaza kuwa Rais wa JMT. Sasa kwa vile u-Rais uishanukia kwa Wazanzibar, ilibidi wao wapendekeze jina; na wakaona Mzee AHM tayari ameonesha uzoefu kwa miezi michache aliyoongoza SMZ. Jina lake lilipofikishwa vikaoni, kwa mshangao Mzee Kawawa naye akajitoa, likabaki jina moja!
 
Unaongea CC ya leo, lakini mtoa mada anazungumza CC ya wakati huo. Wakatiu huo hakukuwa na mtu "kujitokeza" kugombea bali alikuwa "anateuliwa" kugombea.
Naongelea CC zote. mwaka 1980 na 1984/85 kulikuwa na kindumbwe ndumbwe cha moto kuhusu mrithi wa mchonga. pia in the aftermath of independence kulikuwa na ligi ndogo ya hatari kuhusu nafasi husika hali iliyosabisha sitofahamu kadhaa ikiwemo multipart kufa na kigogo namba 2 kulazimika kwenda in exile for more than 3 decades. watu wanaojua hizo mambo waliobaki ni wachahche sana kwani wengi hatunao. Hivyo, akitokea mmoja anataka kufunguka tunapaswa kusikiliza. Baada ya 15 years wote hatutakuwanao tena. Mchonga alifanya technical error na mndengereko akatumia fursa na hapo ndipo pana story ambayo ni untold kwenye makaratasi.
 
Sidhani kama kuna 'aliyemgeuka' au 'aliyemgomea' mwenzake. Ikumbukwe mpaka wanaenda katika vikao vya juu, jina la kutoka Zanzibar lilikuwa la Mzee Salim A. Salim. Na pia ndani ya CCM kuna Kamati Kuu (ndogo) ya CCM Zanzibar ambayo wana maamuzi kuhusu jambo mahususi linalohusu Zanzibar; hawa ndiyo waliopendekeza kuondoa jina la SAS. Na ikumbukwe pia Mzee AHM alikuwa tayari Rais wa SMZ na hakuwaza kuwa Rais wa JMT. Sasa kwa vile u-Rais uishanukia kwa Wazanzibar, ilibidi wao wapendekeze jina; na wakaona Mzee AHM tayari ameonesha uzoefu kwa miezi michache aliyoongoza SMZ. Jina lake lilipofikishwa vikaoni, kwa mshangao Mzee Kawawa naye akajitoa, likabaki jina moja!
Naheshimu fact ulizoeleza na sina sababu ya kukubishia kwani zina reflect kitu kilichoonekana wazi. Ila kuna jambo lililosababisha yaliyotokea yatokee kinyume na wishes za mchonga. Mchonga alilazimika kukubaliana na hali kutokona na chenga aliyopigwa mndengereko ambaye alikuwa amefunguliwa macho na watu muhimu kutoka upande muhimu
 
Back
Top Bottom