Hayati Mwl. Julius K. Nyerere na utabiri wa kifo cha CCM - 2020 alioutoa mwaka 1995

Hayati Mwl. Julius K. Nyerere na utabiri wa kifo cha CCM - 2020 alioutoa mwaka 1995

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,950
Reaction score
12,550
Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa

Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28.

Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇

 
Hakika Mwalimu kwa Maelezo aliyosisitiza kuwa ni lazima vikao vya juu vya chama, visikilize maoni ya wananchi, kuhusu wateule wake........

Ni dhahiri kuwa alikuwa akitabiri anguko la CCM la hivi sasa, kwa kuwa wao wa naamini kuwa wanayemtaka wao ni lazima atashinda kwenye sanduku la kura
 
CCM YA MAGUFULI imejifia, wana kusanya watoto kwenye kampeni.
Kinachofuata CCM ya Magufuli itaingiza watoto jeshini wapiganie Chama.
 

Attachments

  • EjLsYt6WsAAo3Uo.jpeg
    EjLsYt6WsAAo3Uo.jpeg
    33.2 KB · Views: 15
Tatizo la CCM ni ubishi na ujeuri - hawataki kabisa kuwasikiliza wananchi..!!
 
Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa...

Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28...

Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇
View attachment 1586837
Hii video viongozi wa Chadema, wapinzani na watu wenye mapenzi mema kwa nchi yetu (wakiwemo CCM ) waitumie kuelimisha watu sehemu zote mwendawazimu mmoja aliyewatishia kuwa wasiwachagua ''misukule'' yake hatawapelekea maendeleo. Tusikubali kuongozwa na mtu mwenye akili za kiwendawazimu namna hii, anayejiona yeye ndiyo Mungu mtu na ana uwezo wa kuamua ni nani ale au asile, ni nani aishi na nani asiishi.
 
Hivi ni lini Magufuli kafanya press conference ya namna hii ??

Hawezi huyo....

Akifanya, itakuwa;

Ni- mejenga fly over....!

Ni- mejenga Stigla Goji kwa pesa za ndani....!

Ni - menunua ndege kwa fedha zetu za ndani...!!

Ni - mejenga SGR.....!

Halafu jaribuni kuuliza maswali nje ya hayo, labda kuhusu Chato Airport....

Nakwambia ndiyo itakuwa mwisho wa PC na mtaishia kufokewa na kuitwa majina kama "...wewe si " manjaa" kwa maana ya Paschal Mayalla mpaka mkome...!!
 
Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa

Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28.

Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇

View attachment 1586837
Washington, DC — The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.

House Resolution 1120 - sponsored by California Democrat Karen Bass, who chairs the subcommittee, and the ranking Republican, Chris Smith from New Jersey - reflects growing concern over political and economic developments in Tanzania by members of Congress who follow Africa.

Since the election in 2015 of President John Magufuli, the resolution states, "Tanzania has adopted and enforced multiple repressive laws that restrict freedom of the press, and of expression, assembly, and association." Citing reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania, the resolution criticizes the government's "lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships."

Protection of U.S. investor rights is an issue that enjoys bipartisan support, and there are several U.S. commercial disputes in the country at this time. But the driver behind this Congressional expression of concern is the government's nearly four-year dispute with Symbion Power, centered on the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant.

Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.
 
Back
Top Bottom