CCM ni wajinga snDah! Mpaka mtu anafikia hatua ya kuwa marehemu, bado anaitwa Mheshimiwa!! Wahusika wanatakiwa kutambua huo tayari ni udongo, na pia chakula cha viumbe hai wa ardhini..
Hakuna kinachoenda mbinguni, na si dhambi siku ya mwiso utambulisho wa marehemu kuwekwa kwenye msalaba au kaburi, kama ilivyo Dr, Rev, Prof, Gen, Inspector n.kView attachment 3438271
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.
Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.
Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.
Nawasilisha kama swali na pia tafakari kwa jamii.
Nafikiri jamaa ametoa angalizo muhimu. Mhe Kuna wakati unaisha na ukishakufa ndio basi tena. Ndugai atakuwa amevunja rekodi ya kuwa mhe hata akiwa kwenye jeneza. RIP NdugaiVyovyote itakuwavyo mradi azikwe tuendelee na kazi zingine
Uheshimiwa utamfufua? atazikwa na watu wataendelea na mambo ya msingiNafikiri jamaa ametoa angalizo muhimu. Mhe Kuna wakati unaisha na ukishakufa ndio basi tena. Ndugai atakuwa amevunja rekodi ya kuwa mhe hata akiwa kwenye jeneza. RIP Ndugai
Haimfufui na haitegemewi aende na uheshimiwa. Wala hatutaki afufuke tena sababu ameshatoka duniani. Apishe wengineUheshimiwa utamfufua? atazikwa na watu wataendelea na mambo ya msingi
Yap ameshakufa na sisi tutakufaHaimfufui na haitegemewi aende na uheshimiwa. Wala hatutaki afufuke tena sababu ameshatoka duniani. Apishe wengine
Kuna shida gani kwenye msalaba kuandika titles za marehemu? i.e Rev, Dr, Bishop, Gen, Inspector, Prof n.k kama umekufa ukiwa unazitumikia???Nafikiri jamaa ametoa angalizo muhimu. Mhe Kuna wakati unaisha na ukishakufa ndio basi tena. Ndugai atakuwa amevunja rekodi ya kuwa mhe hata akiwa kwenye jeneza. RIP Ndugai
Ni upuuzi tu. Huko kwenye imani za kikanisa hakuna huo upuuzi. Jina lako rasmi ndilo unalotambulika nalo. Kwa Mungu wewe ni binadamu kama binadamu wengine, haijalishi mamlaka yako.Kuna shida gani kwenye msalaba kuandika titles za marehemu? i.e Rev, Dr, Bishop, Gen, Inspector, Prof n.k kama umekufa ukiwa unazitumikia???
Mkuu wewe kwenye maswala yote Uko Sawa na una akili vizuri tu.Dah! Mpaka mtu anafikia hatua ya kuwa marehemu, bado anaitwa Mheshimiwa!! Wahusika wanatakiwa kutambua huo tayari ni udongo, na pia chakula cha viumbe hai wa ardhini..
Wanadamu tutambue thamani yetu ni pale tu tunapokuwa hai. Tukishakufa, na thamani yako nayo inafikia tamati.
upuuzi gani? kwani amezikwa kenye property yako? kwa culture nyingi hiyo ni acceptable, hata kama unamchukia ndyo ulichukie hata kaburi lake?Ni upuuzi tu. Huko kwenye imani za kikanisa hakuna huo upuuzi. Jina lako rasmi ndilo unalotambulika nalo. Kwa Mungu wewe ni binadamu kama binadamu wengine, haijalishi mamlaka yako.
Maskini hawana nafasi katika makanisa ya wakristo hasa protestant and catholicMasharti ya kanisa ni kwako wewe mdanganyika kapuku. Wakifa viongozi taratibu zinapindiswa tu.
Kingunge tuliambiwa alirudi kundini masaa machache kabla ya kufa na akazikwa na kanisa kama kawaida.
hiyo ni monarch system, ni mfumo tofauti sanaMalkia Elizabeth alivuliwa vyeo vyote na akazikwa kama Elizabeth, huku kwetu wanatafuta sifa