Hayati Ndugai anazikwa kwa Ibada ya Kanisa ama na Bunge?

Dah! Mpaka mtu anafikia hatua ya kuwa marehemu, bado anaitwa Mheshimiwa!! Wahusika wanatakiwa kutambua huo tayari ni udongo, na pia chakula cha viumbe hai wa ardhini..

Wanadamu tutambue thamani yetu ni pale tu tunapokuwa hai. Tukishakufa, na thamani yako nayo inafikia tamati.
Nadhani Tuishie Hapa.....Tunajikweza Sana....
 
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.

Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.

Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.

Nawasilisha kama swali na pia tafakari kwa jamii.
Inasikitisha sana ....
 
Kuna shida gani kwenye msalaba kuandika titles za marehemu? i.e Rev, Dr, Bishop, Gen, Inspector, Prof n.k kama umekufa ukiwa unazitumikia???
Kuna shida tu. Kilicholala hapo siyo mheshimiwa tena ni mwili usiyo na cheo chochote
 
inaathiri nini? marehemu hakuuchora huo msalaba, ni walimwengu, labda ni chama chake, but it doesn't matter kichoandikwa msalabani, lakini ameshakufa.
 
Huo ni mwili mfu, hauna maana tena hata msalaba ungekuwa wa almasi au jeneza la dhahabu...

Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.

Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.

Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.
 
Wanaohusika wanamkweza isipo sababu. Mungu pekee ndio anajua zaidi
wao wakimkweza inakuathiri nini?? mbona wa-kristo wanamkweza "a blue eyed boy called Jesus" kitu cha kuaminika tu.
 
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.

Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.

Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.

Nawasilisha kama swali na pia tafakari kwa jamii.
Wamechanganya siasa na dini!
 
Ndugai siyo mweshimiwa kwa leo
inakuathiri nini wakimwita "marehemu mheshimiwa Ndungai"??
  • Excessive dwelling on thoughts, especially negative ones, can be a symptom of or a trigger for anxiety disorders, depression, and even psychosis 😀
 
Hayo ni maoni yako ambayo may not be true. Mungu anajua zaidi
 
  • Excessive dwelling on negative thoughts about the deceased can be a symptom of certain mental health conditions, HIYO NI SCIENTIFIC FACT, NA UMESHAATHIRIKA, si maoni yangu hiyo ni science tuliyowezeshwa na Mungu,
  • The Bible strongly emphasizes love, forgiveness, and refraining from hatred and vengeful actions, both towards the living and the dead
  • Ephesians 4:32, Matthew 5:44, Romans 12:19
 
upuuzi gani? kwani amezikwa kenye property yako? kwa culture nyingi hiyo ni acceptable, hata kama unamchukia ndyo ulichukie hata kaburi lake?
  • When someone you didn't get along with dies, many complex and challenging grief emotions can follow.
  • It is understandable and normal to feel a sense of relief, or even happiness, when someone you intensely dislike or hate dies
Mimi naona amezikwa kwenye property yako wewe!
 
Dah! Mpaka mtu anafikia hatua ya kuwa marehemu, bado anaitwa Mheshimiwa!! Wahusika wanatakiwa kutambua huo tayari ni udongo, na pia chakula cha viumbe hai wa ardhini..

Wanadamu tutambue thamani yetu ni pale tu tunapokuwa hai. Tukishakufa, na thamani yako nayo inafikia tamati.
Wanajisahau sana hawa viumbe,raha za dunia zinawafanya wapumbazike wasijue kwamba kuna kesho.
 
Back
Top Bottom