HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Nadhani Tuishie Hapa.....Tunajikweza Sana....Dah! Mpaka mtu anafikia hatua ya kuwa marehemu, bado anaitwa Mheshimiwa!! Wahusika wanatakiwa kutambua huo tayari ni udongo, na pia chakula cha viumbe hai wa ardhini..
Wanadamu tutambue thamani yetu ni pale tu tunapokuwa hai. Tukishakufa, na thamani yako nayo inafikia tamati.
Inasikitisha sana ....
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.
Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.
Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.
Nawasilisha kama swali na pia tafakari kwa jamii.
kwani ni marehemu ndyo amejikweza akiwa mfu au?Nadhani Tuishie Hapa.....Tunajikweza Sana....
Kuna shida tu. Kilicholala hapo siyo mheshimiwa tena ni mwili usiyo na cheo chochoteKuna shida gani kwenye msalaba kuandika titles za marehemu? i.e Rev, Dr, Bishop, Gen, Inspector, Prof n.k kama umekufa ukiwa unazitumikia???
Wanaohusika wanamkweza isipo sababu. Mungu pekee ndio anajua zaidikwani ni marehemu ndyo amejikweza akiwa mfu au?
inaathiri nini? marehemu hakuuchora huo msalaba, ni walimwengu, labda ni chama chake, but it doesn't matter kichoandikwa msalabani, lakini ameshakufa.Kuna shida tu. Kilicholala hapo siyo mheshimiwa tena ni mwili usiyo na cheo chochote
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.
Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.
Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.
wao wakimkweza inakuathiri nini?? mbona wa-kristo wanamkweza "a blue eyed boy called Jesus" kitu cha kuaminika tu.Wanaohusika wanamkweza isipo sababu. Mungu pekee ndio anajua zaidi
Ndugai siyo mweshimiwa kwa leowao wakimkweza inakuathiri nini?? mbona wa-kristo wanamkweza "a blue eyed boy called Jesus" kitu cha kuaminika tu.
Wamechanganya siasa na dini!
Nimeona kwenye msalaba wa marehemu limeanza na neno "Mhe." (ambalo nadhani linamaanisha Mheshimiwa). Kama mazishi haya yanafanywa na Bunge, basi hiyo ni sawa na stahiki ya heshima kwa nafasi yake ya kitaifa ila kwanini watumie msalaba.
Lakini kama ni ibada ya Kanisa, ningetarajia msalaba huo uandikwe kwa namna ya kiimani kwa mfano, majina matatu aliyobatizwa nayo, kama ilivyo kawaida katika ibada za Kikristo.
Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.
Nawasilisha kama swali na pia tafakari kwa jamii.
inakuathiri nini wakimwita "marehemu mheshimiwa Ndungai"??Ndugai siyo mweshimiwa kwa leo
Akifa mtu mzito lazima siasa na dini ichanganyweWamechanganya siasa na dini!
Hayo ni maoni yako ambayo may not be true. Mungu anajua zaidiinakuathiri nini wakimwita "marehemu mheshimiwa Ndungai"??
- Excessive dwelling on thoughts, especially negative ones, can be a symptom of or a trigger for anxiety disorders, depression, and even psychosis 😀
Ninajua, kwa nini hao hao wanaolaani viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa, lakini ndiyo haohao kuwa wa kwanza kuuvunja 'mwiko' huo?Akifa mtu mzito lazima siasa na dini ichanganywe
Ova
Hayo ni maoni yako ambayo may not be true. Mungu anajua zaidi
Mimi naona amezikwa kwenye property yako wewe!upuuzi gani? kwani amezikwa kenye property yako? kwa culture nyingi hiyo ni acceptable, hata kama unamchukia ndyo ulichukie hata kaburi lake?
- When someone you didn't get along with dies, many complex and challenging grief emotions can follow.
- It is understandable and normal to feel a sense of relief, or even happiness, when someone you intensely dislike or hate dies
Wanajisahau sana hawa viumbe,raha za dunia zinawafanya wapumbazike wasijue kwamba kuna kesho.Dah! Mpaka mtu anafikia hatua ya kuwa marehemu, bado anaitwa Mheshimiwa!! Wahusika wanatakiwa kutambua huo tayari ni udongo, na pia chakula cha viumbe hai wa ardhini..
Wanadamu tutambue thamani yetu ni pale tu tunapokuwa hai. Tukishakufa, na thamani yako nayo inafikia tamati.
Wewe utakapokufa (sijui ni lini!) Unataka tuandike nini kama utambulisho wako?Je, huu ni mchanganyiko wa heshima za kidunia na za kiroho?
Wapi mpaka unawekwa? Maana ibada ya Kanisa ina utaratibu wake.