Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

Umeme wakati wa Magu ulikuwa unakatika kama kawa..!! Hakukuwa tu na mtu wa kutangaza kuwa umeme umekatika..!! Ukifanya hivyo usimba wa Yuda ulikuwa unakudondokea..!!
 
[emoji2962]
 

mnahangaika sana lakini bado struggle haitoshi mboga[emoji23][emoji23]

jpm anaonekana kuwa mzito kila siku kama blackhole.
 
Yaaan huyo mwenye ngozi iliyokomaa km ngozi ya mbupu siwezi mwamini hata kidogo eti ww na akili yako kijiko unamwamini wakati unajua kabisa JPM alikua kiongozi boraa kabisa na si mwizi km wengine.
 
Atatokea tu jembe mwingine. Ile mwili ndio utoweka ila spirit huwa inabakia na kutafuta mwili mpya.
 
Umemaliza yule shetani apumzike tu lkni mabaya yalikuwa mengi mwizi mkubwa yule
 
Ninyi na genge lenu la magaidi mlikuwa nafanya huo upuuzi halafu mnamsingizia Shujaa Jpm.. Saccos ya magaidi tupu.
Kamfufue basi mmebaki kulialia tu Mungu fundi akaahamua ugomvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikiona mama mlala hoi kule kijijini anavyopigwa na TOZO machozi yananitoka. Mimi mlala hoi jioni kabla ya kulala ninasikiliza Moja ya hotuba za mwamba JPM, ili nilale nikitafakari. Pumzika kwa amani BABA.
 
Magufuli mwingine atapatikana lini; kwa wale waliosoma hesabu za arithmetic progression na geometric progression, wanaweza kuangalia trend toka Mwalimu Nyerere mpaka Magufuli na kutuambia Magufuli mwingine (au Nyerere mwingine) atapatikana baada ya kipindi fulani?!
 
Kuna watu wanasema walipata tabu kpindi cha jpm..

lakini mimi nawaambia; wanaopata tabu kwa sasa ni maratatu ya wale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…