pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
hehee waziri hasunga bado anang'aaa sharubu hajui lolote...je bashe ambaye kila weekend yupo hapa nairobi atamchanuaa? parachichi value additionjoto la jiwe and his Nemesis Geza Ulole conspicuously missing 😁😁
Na kwa taarifa tu nikuambie Mtoa Mada!Mmefanya jambo jema japokuwa maparachichi yenyewe ni yetu yanatoka Njombe
Wanachukua kwa bei gani kwa kg ?
na mkulima inabidi auze kiasi gani ili kubreak even ?
Haya mambo ni vema kuyajua before kujikita kwenye hizi issues.., bila kusahau watu wote wasiache kulima staple food kwa kufukuzia hii habari.., as well as tatizo la monoculture kubwa at the end of the day magonjwa, madawa kuhitajika kutumika zaidi... (naongea kama mdau wa permaculture na sustainability)
Wale ni watu zaidi ya bilioni, yaani tushindwe wenyewe tu, n mwendo wa kuzalisha haya matunda hadi basi. Shukrani sana rais Uhuru kwa hili soko, Wakenya sisi watu wa kujituma, ukifungua mlango wa soko tuachie mengine, hapa patachimbika yaani
Kumbe wewe ni mmojawapo ya manyangau mlio mega ardhi kubwa ya wakenya masikini kisha wakenya mkawatengea mazizi ya slum ns kuwalundika humo " Mungu anawaona na roho zenu mbaya "Ninafanya Huu mradi mwaka wa pili sasa, Miaka miwili ijayo nitakuwa natengeneza Dolari za Kutosha, Huwa najiona ni fala kwani nilichelewa kuanza.
Uwa mnatuambia mnakufa njaa sababu Anna ardhi ya kulima sasa hiyo ya kulimia wachina mmetoa wapi sibora mngelima mahindi mjilishe kwanza wenyewe hii inaonyesha wenye kumiliki ardhi kubwa Kenya ni Matajiri wanaowaza kuzidi kujitajirisha bira kujali masikini wa Kenya wanao kufa njaajoto la jiwe and his Nemesis Geza Ulole conspicuously missing [emoji16][emoji16]
Na ukumbuke Vietnam ndo mnunuzi mkubwa wa cashews ya Tanzania akifuatiwa na IndiaUnless you can access them cheap,vietnam is jus next door and they source cashews from them at $.8/kg
Tumia akili bro sometimes, Sasa unatarajia nilime chakula nimlatie aliyeshindwa kulima?? Hapa nu unyang'au baba nalima kujifaidi sio ujamaa ka ule wenu wa kula Kinyesi.Uwa mnatuambia mnakufa njaa sababu Anna ardhi ya kulima sasa hiyo ya kulimia wachina mmetoa wapi sibora mngelima mahindi mjilishe kwanza wenyewe hii inaonyesha wenye kumiliki ardhi kubwa Kenya ni Matajiri wanaowaza kuzidi kujitajirisha bira kujali masikini wa Kenya wanao kufa njaa
Ardhi ya kulima imeshikiliwa na wahuni wachache wasiyo ijali kenya wao wanajali matumbo yao na familia zao mkenya wa kibera hanachakeTumia akili bro sometimes, Sasa unatarajia nilime chakula nimlatie aliyeshindwa kulima?? Hapa nu unyang'au baba nalima kujifaidi sio ujamaa ka ule wenu wa kula Kinyesi.
Wabongo bana, kwa porojo hamna zaidi yenu. Tembea boss ujionee. Kama maparachichi mnayazalisha nyinyi pekee yenu mbona hampo hata kwenye top 10 ya nchi zinazozalisha maparachichi kwa wingi hapa Afrika? Kenya inaongoza kwa kuzalisha 28% ya maparachichi yote barani AfrikaNa kwa taarifa tu nikuambie Mtoa Mada!Mmefanya jambo jema japokuwa maparachichi yenyewe ni yetu yanatoka Njombe
Kwa hivyo Mimi pia ni muhuni kwa kuwa na Shamba langu la kulima? Tumia akili bro....Kenya Ina population 45+ million sioni vile some tutatoshea Kibela 😂 😂 mnakaririwa upuzi huko kwenu Kisha mnaamini bila hata kutembea afu Kuna Google pia, jaribu kuitumia.Ardhi ya kulima imeshikiliwa na wahuni wachache wasiyo ijali kenya wao wanajali matumbo yao na familia zao mkenya wa kibera hanachake
Kwani kibera ndiyo slum pekee Kenya kuna slum mobKwa hivyo Mimi pia ni muhuni kwa kuwa na Shamba langu la kulima? Tumia akili bro....Kenya Ina population 45+ million sioni vile some tutatoshea Kibela [emoji23] [emoji23] mnakaririwa upuzi huko kwenu Kisha mnaamini bila hata kutembea afu Kuna Google pia, jaribu kuitumia.