Hayawi hayawi huwa, mashehena ya maparachichi yaanza safari kuelekea Uchina

Hayawi hayawi huwa, mashehena ya maparachichi yaanza safari kuelekea Uchina

Hizi ni habari njema sana kwa wakulima wa Kenya. Wakulima wa gatuzi moja tu la Murang'a ambao ndio wanazalisha 60% ya haya maparachichi ya export wanaingiza KES 2.5Billion kila mwaka! Hili dili la China wamelichangamkia kwa kupanda miche milioni mbili ya Hass Avocado na mipango ipo ya kupanda miche milioni kumi kabla ya mwaka wa 2022.
 
Starehe ya parachichi ukate na umenye mwenyewe. Hilo la kumenyewa na kuwa frozen, dah litaishia kwenye juisi tu mkuu.

Ndio tatizo letu Waafrika, tulichofundishwa utotoni kinabaki hicho, hatujiongenzi wala kubuni.
 
Na kwa taarifa tu nikuambie Mtoa Mada!Mmefanya jambo jema japokuwa maparachichi yenyewe ni yetu yanatoka Njombe
 
Na kwa taarifa tu nikuambie Mtoa Mada!Mmefanya jambo jema japokuwa maparachichi yenyewe ni yetu yanatoka Njombe

Hatujali hata kama mtayazalisha kule Sumbawanga kwa wazee wenu, cha msingi ni kuona shehena zinakatiza kwenye SGR yetu na hatimaye kutia nanga pale bandari ya Mambasa raha.
 
Wanachukua kwa bei gani kwa kg ?
na mkulima inabidi auze kiasi gani ili kubreak even ?
Haya mambo ni vema kuyajua before kujikita kwenye hizi issues.., bila kusahau watu wote wasiache kulima staple food kwa kufukuzia hii habari.., as well as tatizo la monoculture kubwa at the end of the day magonjwa, madawa kuhitajika kutumika zaidi... (naongea kama mdau wa permaculture na sustainability)

Kama wewe ni Mkulima, hiyo variety inazaa kuanzia miaka mitatu after establishment,
Mti mmoja unaweza kutoa kg 300-800 kama umetunza vizuri, kilo moja kwa bei ya shamba ni 1500-2000/- per Kg,
Kwenye ekari moja unapanda miti 80,
Unavuna mara mbili kwa Mwaka.
 
Parachichi kutoka TANZANIA njombe...
Wale ni watu zaidi ya bilioni, yaani tushindwe wenyewe tu, n mwendo wa kuzalisha haya matunda hadi basi. Shukrani sana rais Uhuru kwa hili soko, Wakenya sisi watu wa kujituma, ukifungua mlango wa soko tuachie mengine, hapa patachimbika yaani

EDtaXj2X4AYVWbO

Ninafanya Huu mradi mwaka wa pili sasa, Miaka miwili ijayo nitakuwa natengeneza Dolari za Kutosha, Huwa najiona ni fala kwani nilichelewa kuanza.
Kumbe wewe ni mmojawapo ya manyangau mlio mega ardhi kubwa ya wakenya masikini kisha wakenya mkawatengea mazizi ya slum ns kuwalundika humo " Mungu anawaona na roho zenu mbaya "
 
joto la jiwe and his Nemesis Geza Ulole conspicuously missing [emoji16][emoji16]
Uwa mnatuambia mnakufa njaa sababu Anna ardhi ya kulima sasa hiyo ya kulimia wachina mmetoa wapi sibora mngelima mahindi mjilishe kwanza wenyewe hii inaonyesha wenye kumiliki ardhi kubwa Kenya ni Matajiri wanaowaza kuzidi kujitajirisha bira kujali masikini wa Kenya wanao kufa njaa
 
Tumia akili bro sometimes, Sasa unatarajia nilime chakula nimlatie aliyeshindwa kulima?? Hapa nu unyang'au baba nalima kujifaidi sio ujamaa ka ule wenu wa kula Kinyesi.
 
Tumia akili bro sometimes, Sasa unatarajia nilime chakula nimlatie aliyeshindwa kulima?? Hapa nu unyang'au baba nalima kujifaidi sio ujamaa ka ule wenu wa kula Kinyesi.
Ardhi ya kulima imeshikiliwa na wahuni wachache wasiyo ijali kenya wao wanajali matumbo yao na familia zao mkenya wa kibera hanachake
 
Na kwa taarifa tu nikuambie Mtoa Mada!Mmefanya jambo jema japokuwa maparachichi yenyewe ni yetu yanatoka Njombe
Wabongo bana, kwa porojo hamna zaidi yenu. Tembea boss ujionee. Kama maparachichi mnayazalisha nyinyi pekee yenu mbona hampo hata kwenye top 10 ya nchi zinazozalisha maparachichi kwa wingi hapa Afrika? Kenya inaongoza kwa kuzalisha 28% ya maparachichi yote barani Afrika
 
Ardhi ya kulima imeshikiliwa na wahuni wachache wasiyo ijali kenya wao wanajali matumbo yao na familia zao mkenya wa kibera hanachake
Kwa hivyo Mimi pia ni muhuni kwa kuwa na Shamba langu la kulima? Tumia akili bro....Kenya Ina population 45+ million sioni vile some tutatoshea Kibela 😂 😂 mnakaririwa upuzi huko kwenu Kisha mnaamini bila hata kutembea afu Kuna Google pia, jaribu kuitumia.
 
Kwa hivyo Mimi pia ni muhuni kwa kuwa na Shamba langu la kulima? Tumia akili bro....Kenya Ina population 45+ million sioni vile some tutatoshea Kibela [emoji23] [emoji23] mnakaririwa upuzi huko kwenu Kisha mnaamini bila hata kutembea afu Kuna Google pia, jaribu kuitumia.
Kwani kibera ndiyo slum pekee Kenya kuna slum mob
 
Back
Top Bottom