pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hizi ni habari njema sana kwa wakulima wa Kenya. Wakulima wa gatuzi moja tu la Murang'a ambao ndio wanazalisha 60% ya haya maparachichi ya export wanaingiza KES 2.5Billion kila mwaka! Hili dili la China wamelichangamkia kwa kupanda miche milioni mbili ya Hass Avocado na mipango ipo ya kupanda miche milioni kumi kabla ya mwaka wa 2022.
www.businessdailyafrica.com
Murang'a plans 10m Hass avocado trees
Murang’a targets to plant 10 million trees of Hass avocado by 2022.