Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,955
Reaction score
7,109

Ndugu wanaJF, kama tulivyozoea tunakuwa na shamrashamra 3 katika maisha; kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kufa:
Basi mwana JF mwenzetu ndani ya Wing hii ya huku amepata mwenza na wanatarajia kufunga ndoa mwezi Desemba mwaka huu katika Jiji la Arusha!
Tumependa ku-share taarifa hii nzuri kwakuwa sisi ni wamoja (Jumuiya ya wana JF). Tumtakie kila la kheri ndugu yetu huyu pamoja na mwenza wake wawe na maisha mema!
Tanga Wing tunaleta mwali chuga, ni raha sana!
Mwenyekiti wa Arusha wing
PakaJimmy mpokee mwali na atunzwe kama alivokuwa hapa kwetu!

YNNAH is getting married: Tanga wing tunakutakia maisha mema
YNNAH katika ndoa yenu, Mungu awabariki muishi kwa amani! Siku ya tukio tutatinga kama mvua hapo Jijini!

NB Na sisi tunataka wanachuga mtupe mwali inreturn maana mmepunguza memba wetu!




CC: Dark City KOKUTONA @Arabala @Preta Ladymasa Blaki Womani PakaJimmy Lily Flower Filipo Smile watu8 Arushaone Madame B Mchambuzi Bishanga marejesho Mzee wa Rula Baba V mwenyekiti wa haya makitu na JF wotee
 
Last edited by a moderator:
Hongera zake! Wote wawili ni member wa jf? Walikutana hapa?
 
The Boss kwa uchokozi...... Hongera@YANNAH, Mungu akutangulie ktk maandalizi ya kuingia ktk hatua nyingine ya maisha, pole tanga wing kwa kupoteza member na hongera arusha wing kwa kumpata member mpya


yaaani mmeni quote hadi imebaki licha ya ku edit
we mzimaa?
 
Back
Top Bottom