Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Haya nishaelewa sasa...ahsante amu kwa kunielewesha!Yeye ndo hajaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nishaelewa sasa...ahsante amu kwa kunielewesha!Yeye ndo hajaelewa
hapo kwenye red bold ndio tunapopasisitiza haswaa!
Tumeandaa kiwanja kwa ajili yako kule mwambani beach
Hayayaaa kuolewa ntarudi nyumbani kutembeaa
Tunaamini utakuwa unakuja kutembea nyumbani
Kuja home muhimu dada...bt nitawamiss sana.
Sisi pia, ila ulimwengu kijiji utatusaidia kuwasiliana nawe, kidigitali
Huwa napenda activities impossile maana napenda Kubadili impossibles kuwa possibles!
Huwa napenda activities impossible maana napenda Kubadili impossibles kuwa possibles!
Umeanza lini biashara ya suicide bombing?
Babu DC!!
We jiandae tu Lily Flower maana nina imani na hili!
Babu ukichagua biashara basi we sio mfanya biashara.
Ni kweli waliamini
lakini walikuwanwanacheza kila mmoja kivyake na sio timu!
Ni kweli waliamini
lakini walikuwanwanacheza kila mmoja kivyake na sio timu!
Bado naokuomba sana mtoto mzuri (mama wa nyuki), unipatie jibu basi...
Babu DC!!