Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Babu mbona jibu liko wazi kabisa? stukaa.
Haya bwana....ngoja nijikongoje na uzee wangu....
Naona siku hizi sie vibogoyo tunatelekezwa hata kuoneshwa njia hatupewi msaada tena....
Uzuri ni kwamba kila atakayepata bahati lazima afike huku tulipo sie...
Hata hivyo, nina imani sana na katibu wangu (@Mwanyasi), hawezi kutuangusha..lol!!
Babu DC!1