Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

Babu mbona jibu liko wazi kabisa? stukaa.


Haya bwana....ngoja nijikongoje na uzee wangu....

Naona siku hizi sie vibogoyo tunatelekezwa hata kuoneshwa njia hatupewi msaada tena....

Uzuri ni kwamba kila atakayepata bahati lazima afike huku tulipo sie...

Hata hivyo, nina imani sana na katibu wangu (@Mwanyasi), hawezi kutuangusha..lol!!

Babu DC!1
 

Mwenyekiti bila shaka!
Huwa sina historia ya kuanguka au kuwalet down watu!
Chamsingi ushirikianao uliopo uendelee!
 
Mwenyekiti bila shaka!
Huwa sina historia ya kuanguka au kuwalet down watu!
Chamsingi ushirikianao uliopo uendelee!


Ndo maana wewe ni bonge la katibu....

Hakuna ubishi juu ya hilo...

Hebu basi tupe mwongozo wa kwenda kuvamia chugga...
KOKUTONA, CHUAKACHARA, Arabela, YNNAH....

Lazima tufanya fujo ya kutosha bwana...

Babu DC!1
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana wewe ni bonge la katibu....

Hakuna ubishi juu ya hilo...

Hebu basi tupe mwongozo wa kwenda kuvamia chugga...
KOKUTONA, CHUAKACHARA, Arabela, YNNAH....

Lazima tufanya fujo ya kutosha bwana...

Babu DC!1
Haya Mkuu.
Siku hiyo tutaona nani wanampenda zaidi YNNAH, kati ya waliomwacha aolewe kwa wanaume, na wale waliompenda kwa dhati wakampeleka Chuga.
 
Last edited by a moderator:
At least hii story imefurahisha even though its old.. Hongera sana wapendwa.. Tuombeane na sie tulio nyuma yenu ( tulio mbioni mwa kuingia Courtship) . Maana ndoa Za siku hizi Duuh bila maombi acha tuu... Please mtangulizeni Mungu kwa kila Jambo .. Thanks ..
 

Kila la heri Ynah

Ha haa mmeichonoa wakati tayari kuna mtunda ya uhuru tayari
 
Last edited by a moderator:
Hongerq sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…