Mwenzangu YNNAH hongera sana kwa kufanya maamuzi hayo ya ki utu uzima!
Muda si mrefu na mimi nitaleta news kama hizi hapa jukwaani! Halafu Mwanyasi ametangaza yako, yake lini?
Waefeso
5:22-24 "Enyi wake watiini
waume zenu kama kutii Bwana
wetu kwa maana mume ni
kishwa cha mkewe kama Kristo
naye nikichwa cha kanisa, naye
nimwokozi wa mwili. Lakini
kama vile kanisa limtiivyo Kristo
vivyo hivyo wake nao wawatii
waume zao katika kila jambo."
Waefeso
5:22-24 "Enyi wake watiini
waume zenu kama kutii Bwana
wetu kwa maana mume ni
kishwa cha mkewe kama Kristo
naye nikichwa cha kanisa, naye
nimwokozi wa mwili. Lakini
kama vile kanisa limtiivyo Kristo
vivyo hivyo wake nao wawatii
waume zao katika kila jambo."
Je naruhusiwa huyu Shemeji yetu aje nimfanyie rehersal? Nione jkama kweli Mpwa wangu atafaidi au lah? Hahahaa hongereni once again and my the Good God guide you throughout your life ....amen