Hayawi hayawi sasa yamekuwa mwana JF ndani ya shela

poa huyo kafanya yake..... ila we mwekundu na tabia yako ya kuhonga mihela hebu jirekebishe kwanza then ndo utangaze hiyo ndoa.... hahaaa... nakutania mwaya...
 
Mwanyasi tunashukuru kwa hbr hii nzuri sana na hakika tutakuwa naye bila ya kumchoka. Na MUNGU aliye mwingi wa Rehema na ampe afya njema na mwenzetu huyu afurahie maisha ya Ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…