Hayawi hayawi, Uwanja wa Bunju wa Simba FC, ujenzi wapamba moto

Hayawi hayawi, Uwanja wa Bunju wa Simba FC, ujenzi wapamba moto

Kutengeneza pitch ni hatua ya mwisho kwa ujenzi wa kiwanja cha michezo.........

Hii inafanana na kupiga tiles kabla hujapandisha ukuta '' anyway inawezekana sipo sahihi pia
Ndiyo kibongo bongo pitch kwanza. Wakati wa kujenga sehemu nyingine watabomoa.
 
HIV jamaani simba huo uwanja wao ni Ekali ngapi . Mimi ni shabiki wa simba napenda tu kujua ili kama hilo eneo linaweza kutosha kujenga uwanja Mkubwa wa kisasa na viwanja vingine vya academy na hostel za wachezaji

Ekari 2.
 
Wakiokuwa wanabeza kuwa Simba Sports Club haitaweza kujenga uwanja wake nadhani sasa yamewashinda.Leo grader liliendelea kufanya kazi huko Bunju. Simba Sports Clubs imepania kuhakikisha uwanja huo unaanza mapema.

Ujio wa Mo in faraja kubwa kwa Klabu ya Simba.
View attachment 379215 Ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa Simba SC unaendelea katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam, Rais wa klabu hiyo Evance Aveva aliwaongoza baadhi ya viongozi na wanachama kufanya ukaguzi.

Mambo yanazidi kuonekana kwenda vizuri kwenye Uwanja wa Bunju unaomilikiwa na Simba, huku kukiwa na dalili za kikosi hicho kitaanza kufanya mazoezi kwenye uwanja wake mpya.

Uwanja huo wa klabu ya Simba, umeanza matengenezo na inaonekana yamekuwa yakienda kwa kasi kubwa.

Baada ya siku chache kuonekana tingatinga likikwangua, kuanzia juzi, mchanga maalum ambao huwa chini ya nyasi bandia umeanza kumwagwa.
View attachment 379223 View attachment 379224 View attachment 379225
Mbona kama wanajenga petrol station!
 
HIV jamaani simba huo uwanja wao ni Ekali ngapi . Mimi ni shabiki wa simba napenda tu kujua ili kama hilo eneo linaweza kutosha kujenga uwanja Mkubwa wa kisasa na viwanja vingine vya academy na hostel za wachezaji
Ni heka moja mkuu wanategemea kuhamisha majiran
 
Back
Top Bottom