muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
safiiii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wale wakandarasi walioletwa na Rage walifia wapi?Hivi wale wakandalasi walioletwa na manji walipotelea wapi?
Sasa huo ni uwanja au vumbi?mbona hatuko serious kwenye michezo?
Mbona yupo nje acha kukurupukaMaisha Haya ni shiida, Rais wa Simba yuko zake ndani lkn huku nje wakina kaburu wanafanya yao. Kweli kila mtu hufa lwake
over my dead body.mo sport club
Manji kaachia ngazi Yanga !!
'Natukanwa sana na baadhi ya matajiri ambao ni wapenzi wa Yanga. . Hawapendi mimi niwepo pale. . Pesa ni yangu natoa kwa mapenzi niliyonayo kwa klabu yangu. . Kwanini nitukanwe wakati sipati maslahi yoyote?najiuzulu". . Ni kauli ya mwenyekiti wa Yanga SC ambaye ametangaza kujiuzulu kufuatia kusakamwa na hasa baada ya kuomba kuichukua Yanga kwa miaka 10.
Hata hivyo kumekuwa na vikao mbalimbali kumsihi Manji abadili maamuzi yake lakini inaonekana amechoka na ameamua kuibwaga Yanga.Tayari Reginald Mengi ameonesha nia ya kuingia Yanga endapo Manji ataondoka. . Leo jioni baraza la wazee wanataraji kuwa na kikao na Mengi.
Tusubiri.
Duuh sikua nimeipata aisee. Kwa fitna na figisufigisu Mengi ni baba lao. Kama kweli habari hii ni ya kweliManji kaachia ngazi Yanga !!
'Natukanwa sana na baadhi ya matajiri ambao ni wapenzi wa Yanga. . Hawapendi mimi niwepo pale. . Pesa ni yangu natoa kwa mapenzi niliyonayo kwa klabu yangu. . Kwanini nitukanwe wakati sipati maslahi yoyote?najiuzulu". . Ni kauli ya mwenyekiti wa Yanga SC ambaye ametangaza kujiuzulu kufuatia kusakamwa na hasa baada ya kuomba kuichukua Yanga kwa miaka 10.
Hata hivyo kumekuwa na vikao mbalimbali kumsihi Manji abadili maamuzi yake lakini inaonekana amechoka na ameamua kuibwaga Yanga.Tayari Reginald Mengi ameonesha nia ya kuingia Yanga endapo Manji ataondoka. . Leo jioni baraza la wazee wanataraji kuwa na kikao na Mengi.
Tusubiri.
Jibu swali alafu uulize swali, haya Manji amejiuzuru huko, kaandamane arudi.Na wale wakandarasi walioletwa na Rage walifia wapi?
Wacha Kingu watema Kingu!!!!!! When a King dies another King reins!!!Jibu swali alafu uulize swali, haya Manji amejiuzuru huko, kaandamane arudi.
Wacha Kingu watema Kingu!!!!!! When a King dies another King reins!!!
Usihofu wala usichekelee; Yanga imekuwepo tangu zamani bila Manji na Yanga itaendelea kuwepo bila Manji.
Weka maneno yako ya mpataji😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉Maneno Ya Mkosaji Hayo