Hayawi hayawi, Uwanja wa Bunju wa Simba FC, ujenzi wapamba moto

Kutengeneza pitch ni hatua ya mwisho kwa ujenzi wa kiwanja cha michezo.........

Hii inafanana na kupiga tiles kabla hujapandisha ukuta '' anyway inawezekana sipo sahihi pia
Ndiyo kibongo bongo pitch kwanza. Wakati wa kujenga sehemu nyingine watabomoa.
 
Mkiwa na game na Yanga msiende zenji tena
 
HIV jamaani simba huo uwanja wao ni Ekali ngapi . Mimi ni shabiki wa simba napenda tu kujua ili kama hilo eneo linaweza kutosha kujenga uwanja Mkubwa wa kisasa na viwanja vingine vya academy na hostel za wachezaji

Ekari 2.
 
Mbona kama wanajenga petrol station!
 
HIV jamaani simba huo uwanja wao ni Ekali ngapi . Mimi ni shabiki wa simba napenda tu kujua ili kama hilo eneo linaweza kutosha kujenga uwanja Mkubwa wa kisasa na viwanja vingine vya academy na hostel za wachezaji
Ni heka moja mkuu wanategemea kuhamisha majiran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…