Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na leo wanakwenda kuwa mwili mmoja, tayari maharusi wameshawasili kanisani na shamra shamra zinaendelea katika kukamioisha shughuli nzima.
Tuwaombee wawili hawa ndoa yao ikawe heri na baraka kwao na kwa familia nzima watakayojaliwa.