Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Nimefurahi jamani Kama naoza mwanangu mwenzenu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji179][emoji3059][emoji3059]nampenda William na Nandy nimeamini true luv do exist!!!
Mungu awape miaka yenye heri nyingi duniani
 
Sasa nandi analia Nini wakati anakataga mauno fiesta uwanja umetaapika leo kanisa hata halijaja analeta drama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa si kitu rahisi ,kulia ni hisia muacheni Alie, analia vingi ,Naamini watadumu Sana maana wamekutana wote sio wahuni,SEMA tu mama mtu ndo alikua analeta tamaa zake na ameshindwa kwa jina la Mungu aliye hai.
 
Sijui kwa Nini nawaombea Sana afu nawapenda mnoo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]natamani nisiskie ugomvi kwao ntakua disappointed mnooo
Mwenyewe nimefurahi sana Rey!!!nimefurahi kwa ajili yao....

Watoto wadogo wameweza kufanya mambo makubwa....Mungu awatangulie jamani...

Halafu umepotelea wapi wewe lakini?
 
Siku hizi nafurahia sana nikiona watu wanaingia ndoani kwa heshima namna hii,, story yao ni ndefu ikawe heri kwao, nawapenda sana😍 hakuna kinachokuja kwa wepesi lazima yawepo makwazo nk ila mmepambana aisee,, mmenifundisha kitu kikubwa sana,
 
Back
Top Bottom