SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
Da sjui ulikuwa na haraka Gani kupost bila kuangalia yaani wanafungua ndoa leo???!!!Leo ni siku ya Jumamosi Nandera na Emmanuel (Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach.
Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na leo wanakwenda kuwa mwili mmoja, tayari maharusi wameshawasili kanisani na shamra shamra zinaendelea katika kukamioisha shughuli nzima.
Tuwaombee wawili hawa ndoa yao ikawe heri na baraka kwao na kwa familia nzima watakayojaliwa.