Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
Tupo karne ya 21.....hayo mambo unayosema yalifanyika huko before Crist...
Nani anataka kujua Kama bi harusini bikra ama la?
 
Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo ni siku ya Jumamosi Faustina Mfinanga na William Lyimo (Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach.

Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na leo wanakwenda kuwa mwili mmoja, tayari maharusi wameshawasili kanisani na shamra shamra zinaendelea katika kukamioisha shughuli nzima.

Tuwaombee wawili hawa ndoa yao ikawe heri na baraka kwao na kwa familia nzima watakayojaliwa.

Nauliza Nenga amefata nini kwa Nandy
 
Kelsea njoo uone huku...nawe siku ya siku utaoendeza kama hivi huku mzabzab nikinengua kwa furaha
 
Back
Top Bottom