Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Tupo karne ya 21.....hayo mambo unayosema yalifanyika huko before Crist...Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
Nani anataka kujua Kama bi harusini bikra ama la?