makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Naishi nacho tu.Unataka kuwa baba kijacho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishi nacho tu.Unataka kuwa baba kijacho?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aunt bana sio shangazi[emoji23]Nyie mmeona Nenga kachukua hela kaweka kwenye koti la suti? Wallah wachaga hawajambo kwa pesa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu shangazi wa Nandy, atarudi Europe kwa mguu, sio kwa hela anazomwaga, na amelewaa ndiiiih [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ni kweli ndoa za siku hizi ma bi harusi wanavitumbo,,Naona wengi wanasema siyo ndoa cos nimjamzito..... asilimia 99.8 ndoa zinazofungwa siku hizi mke ni mjamzito.........tusiwahukumu cos wao ni maarufu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu aunt kavurugwa wallah. Khaaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aunt bana sio shangazi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli umefurahi Mdada, tuwaombee wawe na uvumilivu na wadumu. Ndoa ina mengi ya kuvumilia na kukubaliana mapungufu.Ndoa si kitu rahisi ,kulia ni hisia muacheni Alie, analia vingi ,Naamini watadumu Sana maana wamekutana wote sio wahuni,SEMA tu mama mtu ndo alikua analeta tamaa zake na ameshindwa kwa jina la Mungu aliye hai.
Mipango, ndoa ni mipango na maamuziNavy kenzo miaka 10 na usheee hawajaoana tutaona mengi kila kitu ni kheri
Ndio maana ya kubariki ndoa na sio kufunga ndoa.Daahh, Tulioneshwa Junior anachukungulia mlango sasa ndio ndoano inafuata...
Huyu mfungisha ndoa na hili kanisa linabariki ndoa ya namna hii...!!
Enewei, maharusi karibuni chamani!
Alivaa shela kichwani? Ninavyojua makanisa yote yanaruhusu nguo nyeupe kasoro shela la kufunika uso.Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
"Lower your expectations if you don't want disapointments"Sijui kwa Nini nawaombea Sana afu nawapenda mnoo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]natamani nisiskie ugomvi kwao ntakua disappointed mnooo
Naomba niwaweke sawa kuhusu hili la kufunga ndoa Bi Harusi akiwa mjamzitoWatumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana...
Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
So in short ukristo una ruhusu uzinziNaomba niwaweke sawa kuhusu hili la kufunga ndoa Bi Harusi akiwa mjamzito
Katika ukristo inaruhusiwa
Katika Uislam hairuhusiwi mpaka mjamzito atakapojifungua ndo anaruhusiwa kuolewa
Kama kuna nilipokosea wanaojua zaidi waje kunisahihisha/kunikosoa
Tuwatakie Kheri katika ndoa yao mengine tuwaachie wenyewe
Kila Dini/Imani ina taratibu zake ilizojiwekea haina haja ya kuikandamiza mkuu ni vyema tukaheshimu taratibu zao ila tusizifuate tu, tufuate taratibu za Imani zetuSo in short ukristo una ruhusu uzinzi
A simple yes or no inatosha story ndefu za niniKila Dini/Imani ina taratibu zake ilizojiwekea haina haja ya kuikandamiza mkuu ni vyema tukaheshimu taratibu zao ila tusizifuate tu, tufuate taratibu za Imani zetu
Ahsante
Siwezi nikatoa jibu la namna hiyo mkuu, maana imani yangu inanitaka niheshimu wa Imani tofauti, kama naona wanakosea napaswa kuzingatia aya inayosema hivi,A simple yes or no inatosha story ndefu za nini
Yah!!!App Inatutesa mno...ila tunakomaa nayo tu hivyo hivyo..
Umeona Nandy alivyolia wakati wa kula kiapo? Hadi nimelia na mimi[emoji26][emoji26]
Nyie mmeona Nenga kachukua hela kaweka kwenye koti la suti? Wallah wachaga hawajambo kwa pesa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu shangazi wa Nandy, atarudi Europe kwa mguu, sio kwa hela anazomwaga, na amelewaa ndiiiih [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hao sio watumishi,ni watumishi njaa!.. Watumishi wa kweli wanasimamia misimamo ya imani yao.Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana...
Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
Sio ukristo sema baadhi ya makanisa ya kimchongo mchongo ndio yanaruhusu watu kuoana mwanamke akiwa na mimbaNaomba niwaweke sawa kuhusu hili la kufunga ndoa Bi Harusi akiwa mjamzito
Katika ukristo inaruhusiwa
Katika Uislam hairuhusiwi mpaka mjamzito atakapojifungua ndo anaruhusiwa kuolewa
Kama kuna nilipokosea wanaojua zaidi waje kunisahihisha/kunikosoa
Tuwatakie Kheri katika ndoa yao mengine tuwaachie wenyewe
Daaah! Manka umetokea sayari gani? Wewe siyo wa Dunia hii.Nimefurahi jamani Kama naoza mwanangu mwenzenu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji179][emoji3059][emoji3059]nampenda William na Nandy nimeamini true luv do exist!!!
Mungu awape miaka yenye heri nyingi duniani