Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Daahh, Tulioneshwa Junior anachukungulia mlango sasa ndio ndoano inafuata...

Huyu mfungisha ndoa na hili kanisa linabariki ndoa ya namna hii...!!

Enewei, maharusi karibuni chamani!
Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana. Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
 
Wataalam wa mavazi wanatakiwa kutoa ushauri kwa maharusi wao sio kuwavalisha kwa kufuata mikumbo, shela nyeupe inavaliwa na mabikra sio vinginevyo, ni alama ya weupe wa moyo.... kadiri ya waanzilishi wa mavazi ya harusi, harusi ya bikra ndiyo inayopambwa na mapambo meupe kuanzia nguo zake, ukumbini, nyumbani, kitandani na njiani anakopita, wengine wote kuna rangi zao wataalamu wanajua.,..
 
1657981795904.png
 
Yah!!!App Inatutesa mno...ila tunakomaa nayo tu hivyo hivyo..

Umeona Nandy alivyolia wakati wa kula kiapo? Hadi nimelia na mimi[emoji26][emoji26]
Acha tu hapa mmehangaika ndo imekubali.
Amelia yaani it was too emotional ,Nimejskia goosebumps yaani.

Ndoa ni tendo kubwa Sana haswa kwa wasanii Ila Nandy sio muhuni wa hvyoo jamani
 
Watumishi wa Mungu zama hizi wana kazi sana...
Ndoa inafungwa mimba kubwaaa inabidi tu wafumbe macho hivyo hivyo vinginevyo wakijifanya kuwa wakali watakosa waumini
Watakosa sadaka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom