Aisee!Hii nadhani ni ngoma mpya..
Kutoka kufukuana mitaro mpaka kuoana?
Created By GodLove issa byurifu thing[emoji7]
Mkuu waombee tu basi mengine waachie wenyewe na Mungu wao.Huwa siamini ndoa za watu maarufu wanapooana. Kila mtu ana umaarufu wake ambao anadhani hatakiwi kuupoteza.
Kila la heri
Kwanini hawahamualika KOFI OLOMIDE a.k.a Papa mobimba?Leo ni siku ya Jumamosi Nandera na Emmanuel ( Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach.
Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na leo wanakwenda kuwa mwili mmoja, tayarimaharusi wameshawasili kanisani na shamra shamra zinaendelea katika kukamioisha shughuli nzima.
Tuwaombee wawili hawa ndoa yao ikawe heri na baraka kwao na kwa familia nzima watakayojaliwa.
Huwa siamini ndoa za watu maarufu wanapooana. Kila mtu ana umaarufu wake ambao anadhani hatakiwi kuupoteza.
Kila la heri