Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ila wabongo wakikutosa wamekutosa mazima. Maskini Lulu tangu amzamishe kanumba kila anachokifanya wabongo wanakipotezea,alianza ndoa wabongo wakaita kipaimara wakauchuna,kajifungua watu hawana mhaho wa kumuona mwanae,kafungua biashara kwa mbwembwe wabongo kimya, birthday ya mwanae kajitahidi kuibust wabongo waleee kwa bill na nandy.