Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Hayawi hayawi yamekuwa, Bilinass na Nandy wafunga ndoa tar 16/7/2022 katika kanisa la KKKT Mbezi Beach

Ila wabongo wakikutosa wamekutosa mazima. Maskini Lulu tangu amzamishe kanumba kila anachokifanya wabongo wanakipotezea,alianza ndoa wabongo wakaita kipaimara wakauchuna,kajifungua watu hawana mhaho wa kumuona mwanae,kafungua biashara kwa mbwembwe wabongo kimya, birthday ya mwanae kajitahidi kuibust wabongo waleee kwa bill na nandy.
 
Niaje wadau wa burudani!!!!

Kiukweli waliofatilia jana tukio la mlimani city kwenye sherehe ya nandy bila kupapasa macho SHANGAZI aliuwa sana kwa licha ya kusema ametoa pesa kiasi gani ila adi MC alikubali baada ya kuona mzigo SHANGAZI ALIOTOA kwa nandy & Nenga pamoja na familia ya nandy na Nenga pamoja na Mc bila kusahau Musa(mtangazaji wa clouds fm)
Hakika kwa tukio la jana alitakiwa kuwekwa kwenye front page za magazeti

Vipi kwa mtazamo wako mdau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi tunamtetea kuwa aliungama ndipo akafunga ndoa, hapo hapo anaenda kukaa uchi ukumbini kwenye halaiki.

Hata kama ni staa, sio sawa. Angesubiri sherehe iishe akaendelee na maisha yake huko ya kistaa.
 
Ila ile nguo Nandy alivaa ukumbini.... aibu niliona mimi....

Mbele ya wazazi wake... Wazazi wa Nenga... kwa kweli hapana.
 
Nadhani hivyo... Mama yake ni Mnyaki...

Baba yake Mtu wa Kaskazini... Old Moshi huko...
Ninavyowajua wanyaki, na gubu letu; Ile second dress ya Nandy, watakuwa wameongea jamani. Kama nawaona vile "aseeeeeeeeeeeee".

Ila Nandy na Nenga wanapendana jamani; Mungu akawatetee kwenye ndoa yao, wakawe na ndoa ya mfano kwa wasanii na hata wengine
 
Ninavyowajua wanyaki, na gubu letu; Ile second dress ya Nandy, watakuwa wameongea jamani. Kama nawaona vile "aseeeeeeeeeeeee".

Ila Nandy na Nenga wanapendana jamani; Mungu akawatetee kwenye ndoa yao, wakawe na ndoa ya mfano kwa wasanii na hata wengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanyaki hamna jambo dogo nyie....

Wanapendana mno....Mungu awatangulie kwa kweli....
 
Nawajua ndugu zangu, huko sijui wameongeaje uwiiiiii. Siku aende sasa Kyela/Tukuyu....

A big AMEN
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kile kinguo cha Nandy jana...nadhani Body Language ilikuwa inafanya kazi sana Unyakini[emoji28]

Zile za kufinyana, mara umesukumizwa na kibega... Hasa Mama zetu jamani[emoji119]
 
Back
Top Bottom