Hayo masaa mawili, mh. waziri alikuwa anaongea nao nini?

Hayo masaa mawili, mh. waziri alikuwa anaongea nao nini?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Nimeona hii habari, nimesikitika. Masaa mawili waziri alikuwa anaongea nini?
IMG_9447.jpeg
 
Ni ujinga ujinga tu, hatuwezi kusogea kwa kuleta siasa.
Watu wamewekeza pesa na muda, sie vijana wapambane wee, wakifanikiwa, kisha baadae mtake sifa za kisiasa
 
Ni kuchosha wachezaji na Mboyoyo zao.
 
Haki ya Mungu siasa huleta mpasuko sana. Waziri kama huyu its like hajui majukumu yake. Viongozi huanza kuhudhuria nchi ikifika nusu fainali na fainali.
Kwamba Waziri anadhani tatizo la wizara yake ni taifa starz tu?
tuachieni mpira wetu. Sio kila sehemu tunawahitaji. We need our national team back.....not your bad politics.
 
Back
Top Bottom