KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Jibu ndilo hili. "uamzi" ni wa waTanzania.Kunyoa au kusuka yote si ni uamuzi mikononi mwetu.
Safari hii tukishindwa kuamua, tusilalamike tena huko mbeleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ndilo hili. "uamzi" ni wa waTanzania.Kunyoa au kusuka yote si ni uamuzi mikononi mwetu.
Mtu safi mwenye hofu ya m/mungu anaanzaje kuogopa katiba?? Kiongozi ni mchungaji na kila mchungaji wataulizwa siku ya mwisho kwa vile vitu walivyovichunga,
.
Mtu mwizi/bandido hataweza kukubali katiba mpya
Nimekusoma hiyo paragraph ya kwanza sijakuelewa mahali, umezungumzia hizo Katiba mbili [Warioba na pendekezwa] kama zina mapungufu zifanyiwe mabadiliko.Rasimu ya mabadiliko ya Katiba ya Time ya Warioba na Katiba pendendekezwa vyote lazima kuna vifungu,maoni au mapendekezo yake mengine yatakuwa yameshapitwa na wakati.
Muhimu ni makubaliano miongoni mwa wananchi,tunaanzia pale alipoishia Mh.Warioba na tume yake na kuboresha zaidi kwa weledi tukiwa na sober minds.Siyo wengine hawataki wengine wanataka.Tunahitaji makubaliano zaidi kuliko kingine ili Tanzania irejee katika nafasi yake ya ukinara wa siasa za Haki na amani barani Afrika na Duniani.
Wanaokataa Katiba mpya wameidhoofisha sana nchi yetu.Tunaweza kutengeneza Katiba ya mfano kushinda wengine Ila ubishi na ubinafsi Wa wana CCM umeidumaza nchi yetu.
Woga na ulafi wa madaraka. Ndio sababu kubwa ya kutotakaIkumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa?
Asijipende vipi mtu huyo?
Inawezekana ni kwa mantiki hiyo kwamba sarakasi hizi za katiba mpya iwe baada ya 2025 tunaziona sasa.
Mh. Rais Samia hana haja ya katiba mpya kwenye mitano hii labda kwenye ile mitano mingine!
Ni vizuri kuujua ukweli mchungu huu ili kuukubali au kuukataa.
Kunyoa au kusuka yote si ni uamuzi mikononi mwetu.
Stefano Mengele anajua vyema.
Nimekusoma hiyo paragraph ya kwanza sijakuelewa mahali, umezungumzia hizo Katiba mbili [Warioba na pendekezwa] kama zina mapungufu zifanyiwe mabadiliko.
Hapo najiuliza kwanini mabadiliko yafanyike kabla ya kupitishwa? ni kipi rahisi, kupitisha Katiba husika au kuzifanyia marekebisho sheria husika baada ya kupitishwa?
Kwa upande wangu, naona njia ya kwanza ni muhimu ianze kufanyika kwa kupitisha Katiba Mpya ASAP, na hapa tusidanganyane, ile pendekezwa haikuwa ya wananchi ilikuwa ya wana-CCM.
Waliileta makusudi ili kuviondoa vifungu vile walivyoona vitawabana wao na maslahi yao, lakini hayakuwa mahitaji ya watanzania, baada ya kupitishwa hii ndio yafanyike marekebisho uyatakayo kama yatakuwepo.
Kwasababu naamini ni ngumu sana kujua mapungufu ya kitu kama bado hujaanza kukitumia, kwanza ipitishwe itumike ikionekana kuna mapungufu ndio yafanyiwe amendments lakini sio kuanza na amendments kabla hujaipitisha.
Hii ni vicious circle. Anayeingia hataki kukubali kupunguziwa madaraka na anapotoka CCM hawataki awaachie bila madaraka. Kinachobaki ni umma kuamua wanataka nini. Hapo ndipo ninapokubaliana na Lissu kuwa njia mbadala inahitajika otherwise hawa maCCM watatuachia nchi ikiwa kwenye hali ya Sudan.Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa?
Asijipende vipi mtu huyo?
Inawezekana ni kwa mantiki hiyo kwamba sarakasi hizi za katiba mpya iwe baada ya 2025 tunaziona sasa.
Mh. Rais Samia hana haja ya katiba mpya kwenye mitano hii labda kwenye ile mitano mingine!
Ni vizuri kuujua ukweli mchungu huu ili kuukubali au kuukataa.
Kunyoa au kusuka yote si ni uamuzi mikononi mwetu.
Stefano Mengele anajua vyema.
Hii ni vicious circle. Anayeingia hataki kukubali kupunguziwa madaraka na anapotoka CCM hawataki awaachie bila madaraka. Kinachobaki ni umma kuamua wanataka nini. Hapo ndipo ninapokubaliana na Lissu kuwa njia mbadala inahitajika otherwise hawa maCCM watatuachia nchi ikiwa kwenye hali ya Sudan.
Sorry Mkuu kama sijaeleweka,ila nilimaanisha kuwa Katiba tunayoipigania ni ile itakayokubalika na wananchi.Documents zipo ni suala la uamuzi wetu,tukianzia pale alipoishia Mzee Warioba ni vema sana lakini hatuwezi ichukua kama ilivyo baada ya marekebisho tutakayokubaliana au kama tunaanzia kwenye hatua ya katiba pendekezwa pia kuna marekebisho ya kufanywa ili ikubalike na wananchi wengi.Nimekusoma hiyo paragraph ya kwanza sijakuelewa mahali, umezungumzia hizo Katiba mbili [Warioba na pendekezwa] kama zina mapungufu zifanyiwe mabadiliko.
Hapo najiuliza kwanini mabadiliko yafanyike kabla ya kupitishwa? ni kipi rahisi, kupitisha Katiba husika au kuzifanyia marekebisho sheria husika baada ya kupitishwa?
Kwa upande wangu, naona njia ya kwanza ni muhimu ianze kufanyika kwa kupitisha Katiba Mpya ASAP, na hapa tusidanganyane, ile pendekezwa haikuwa ya wananchi ilikuwa ya wana-CCM.
Waliileta makusudi ili kuviondoa vifungu vile walivyoona vitawabana wao na maslahi yao, lakini hayakuwa mahitaji ya watanzania, baada ya kupitishwa hii ndio yafanyike marekebisho uyatakayo kama yatakuwepo.
Kwasababu naamini ni ngumu sana kujua mapungufu ya kitu kama bado hujaanza kukitumia, kwanza ipitishwe itumike ikionekana kuna mapungufu ndio yafanyiwe amendments lakini sio kuanza na amendments kabla hujaipitisha.
Katiba Mpya hasa ile rasimu ya Warioba ndio ilikuwa ya wananchi, wale wajumbe wa tume iliyoundwa walizunguka nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi.Sorry Mkuu kama sijaeleweka,ila nilimaanisha kuwa Katiba tunayoipigania ni ile itakayokubalika na wananchi.Documents zipo ni suala la uamuzi wetu,tukianzia pale alipoishia Mzee Warioba ni vema sana lakini hatuwezi ichukua kama ilivyo baada ya marekebisho tutakayokubaliana au kama tunaanzia kwenye hatua ya katiba pendekezwa pia kuna marekebisho ya kufanywa ili ikubalike na wananchi wengi.
Hakuna njia ya mkato,tutabanana hadi katiba mpya ipatikane.
Wale wanaoelewa kuhusu mambo ya gharama za kuendeleza mchakato wa Katiba wangejaribu kutoa hints zake. Hali ya uchumi inayo nyemelea dunia yetu kutokana na vita ya Ukraine na kabla ya hapo corona si rafiki hata kidogo. Gharama za katiba mpya kiuchumi zitaleta athari gani kwa taifa?
Wakati wa JPM alisema anashughulikia mambo ya uchumi kwanza na huko baadaye angali ona uwezekano wa katiba mpya. Na alishughulikia uchumi kweli kweli na mwenye macho haambiwi tazama.
Awamu hii bahati mbaya tunavyoambiwa na Viongoxi wetu imekuta tanesco inahitaji kushughulikia uchakafu wake na maboresho ya hiyo huduma kwa $1.9B. Kumbuka na JPM naye aliboresha ATCL na kukatokea ile kelele ya 1.5 trillion za kitanzania. Yule prof bado yuko ama kahama nchi? Tunge tafakari kama taifa je Katiba na haya mambo muhimu ya uchumi wa nchi kipi kipewe kipaumbele cha kwanza? Kweli katiba mpya inahitajika sana na serikali ya CCM ilisha anzisha mchakato wake na ulifikia hatua nzuri tu. Hapa ni wananchi waamue kunyoa ama kusuka.
Mkuu unajaribu kulinganisha gharama za kuwa na katiba mbovu dhidi ya katiba muafaka?
Kwamba zimekosekana pesa? Siyo nia tu ndugu?
Au tufanye hivi pamoja na tozo na matumizi fyongo yaliyopo nchini wananchi tuchangie hata jero jero basi? Hapo napo vipi?
Kwani ina maana huku kumbe tulikuwa tukilishana upepo tu?
View attachment 2164906
Hapana nalinganisha uchafu wa ATCL na Tanesco jinsi vilivyo parrallel kwa hizi awamu mbili 5 &6 za CCM. "A parallogram strategy."
Katiba Mpya hasa ile rasimu ya Warioba ndio ilikuwa ya wananchi, wale wajumbe wa tume iliyoundwa walizungukwa nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi.
Sasa hii pendekezwa ya CCM unayotaka nayo iheshimiwe hiyo heshima itoke wapi? haistahili, ile haikuwa ya wananchi ilikuwa ya kikundi fulani cha watu, hapa sioni sababu za marekebisho kwenye issue ambayo ilikuwa batili.
Bado sijakuelewa kwanini unataka marekebisho kwenye Rasimu ya Warioba, unamaanisha wananchi wale waliotoa maoni yao wakati ule walikuwa hawajui wanachofanya?
Hapa naona matumizi yako ya neno "marekebisho" umeyaleta ili ujaribu kuleta usawa kwenye hizi Katiba mbili, unataka kuleta kuaminiana, lakini kwangu sioni sababu ya kufanya hivyo kwani ni sawa na kukubali uvunjifu wa sheria uwe halali.
Kukubali makubaliano kati ya hizo rasimu mbili za Katiba ni kuwatusi wananchi, kuyadharau mapendekezo yao, na zaidi mnatengeneza mazingira yatakayoendelea kulea uminywaji haki kwani kutaka usawa na kikundi cha kibinafsi chenye maslahi yao pekee kwangu ni kuzunguka mbuyu.Hapa kuna suala la makubaliano zaidi. Ni kweli kuwa katika ya Warioba na pendekezwa, ya Warioba ni bora zaidi.
Hata hivyo ikizingatiwa ya Warioba nayo itakuwa imepitwa sana na wakati, maboresho mle itakuwa muhimu.
Isisahaulike kujadili details wakati kuanza kwa mchakato wenyewe bado Samia hataki, ni sawa na kutukana mamba kabla ya kuvuka mto.
Kukubali makubaliano kati ya hizo rasimu mbili za Katiba ni kuwatusi wananchi, kuyadharau mapendekezo yao, na zaidi mnatengeneza mazingira yatakayoendelea kulea uminywaji haki kwani kutaka usawa na kikundi cha kibinafsi chenye maslahi yao pekee kwangu ni kuzunguka mbuyu.
Hataridhia ila sisi wananchi ndio tumeitaka.Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa?
Asijipende vipi mtu huyo?
Inawezekana ni kwa mantiki hiyo kwamba sarakasi hizi za katiba mpya iwe baada ya 2025 tunaziona sasa.
Mh. Rais Samia hana haja ya katiba mpya kwenye mitano hii labda kwenye ile mitano mingine!
Ni vizuri kuujua ukweli mchungu huu ili kuukubali au kuukataa.
Kunyoa au kusuka yote si ni uamuzi mikononi mwetu.
Stefano Mengele anajua vyema.
Wananchi walishamaliza kazi yao kupitia kazi pevu ya Jaji Warioba.Kukubali makubaliano kati ya hizo rasimu mbili za Katiba ni kuwatusi wananchi, kuyadharau mapendekezo yao, na zaidi mnatengeneza mazingira yatakayoendelea kulea uminywaji haki kwani kutaka usawa na kikundi cha kibinafsi chenye maslahi yao pekee kwangu ni kuzunguka mbuyu.