Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Hazard cfc mwenzako nakuelewa

Amfute machozi au ampe machozi!!.. Inabidi aende kozi ya utayari miezi mitatu kwa rashidi matumla, aongeze juhudi za kuangalia movie za jack chan, statham, boyka n.k ndani kwake asikose cd za kina tyson, muhammad ali nakadharika.

[emoji23] [emoji23]
Hahahahha nimecheka!!!Asisahau kuandaa na machela hihiiiihi na dawa ya vidonda
 
Hahahahha nimecheka!!!Asisahau kuandaa na machela hihiiiihi na dawa ya vidonda
Mimi najitolea kuwa mdhamini harusi yao ila kwa sharti moja tu la kufunga automatic kamera yenye kujizima wakiwa wana kwichi kwichi na kujiwasha wakiwa wanatwangana, nimechoka kulipia dstv ngumi zenyewe a.j akipigana leo mpaka mwakani.
 
Raha yako kuona wenzio wanatwangana[emoji23] siku hizi wakurya hawatwangani tena.Ni mahaba kama Tanga vile
 
Mimi ni wa mihogo, nsasa,mlenda na ugali wa muhogo,mimi ni wa jembe(kilimo ni uti wa mgongo),mimi ni wa uji wa ulezi na viazi vitamu.

Sitaki toto la kikurya ila kama ni wa hiyo sampuli kama yako ntapiga moyo konde. Nifanyie maarifa rafiki
 
Back
Top Bottom