Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
- Thread starter
- #461
Hahahahha nimecheka!!!Asisahau kuandaa na machela hihiiiihi na dawa ya vidondaAmfute machozi au ampe machozi!!.. Inabidi aende kozi ya utayari miezi mitatu kwa rashidi matumla, aongeze juhudi za kuangalia movie za jack chan, statham, boyka n.k ndani kwake asikose cd za kina tyson, muhammad ali nakadharika.
[emoji23] [emoji23]