REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank