Mimi Niko CRDB mpaka muda huu salary haijasoma kabisa ,Ila Kuna Jamaa kanipigia Jana jion kuwa yeye kapata saa sita mchana na salary yake inapitia NMB.
Mi naona Kuna shida tu imeanza kujitokeza huko hazina ,tokea mwez wa 11 huu ujinga ulianza kujitokeza ,yaan badala ya kwenda mbele Zaid tunarud nyuma.
Note: hapa hakuna Cha upendeleo wa bank fulan Zaid kitengo Cha malipo hazina Kuna namna wameanzisha huu ujinga wao wa kusubirishana had kwa siku moja au mbili km kipindi Cha nyuma huko.
Utaratibu uliokuwepo ulikua mzuri Sana yaan salary ikianza kutoka saa sita mchana Basi kufikia saa moja jion au mbili usiku kila mtu anakua ashapata Ila kwasasa ni upumbavu tu unaendelea huko hazina