REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
NMB mfumo wao wa SMS kuUpdate wateja juu ya miamala mipya ndio inawaponza. Mzigo wamewekewa mapema tu tatizo sms mkuuWatumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Nadhani inategemea na benki zenyewe. Kuna mtu ametufanyia malipo halhamisi via TISS aliyafanya jioni kupitia equity.Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Katika malipo ya zoezi la sensa ilikuwa CRDB wakilipwa leo basi NMB ni baada ya siku 2 mpaka 3Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Umeona uhuni huo Kuna drama zinaendelea pale hazinaKatika malipo ya zoezi la sensa ilikuwa CRDB wakilipwa leo basi NMB ni baada ya siku 2 mpaka 3
Sent from my Samsung Galaxy A13
Msamehe ni mwalimu huyo hawana posho katikati ya mweziWewe sema una njaa tu. Sasa siku 1 tu utakufa?
Acha use*** nge wanaume wanapokuwa wanajadili masuala ya msingi na yenye maslahi kwa taifa tena koma koma kabisaWewe sema una njaa tu. Sasa siku 1 tu utakufa?
Hivi unajua Capital Investment ya CRDB Kwa Tz hii hata Serikalini? Au njaa zako tu unadhani kila kitu ni Topic? Shida akili zenu bado zipo Socialism akati dunia ipo Capitalism. Forces of Demand and Supply ndizo zina dictate Market.Acha use*** nge wanaume wanapokuwa wanajadili masuala ya msingi na yenye maslahi kwa taifa tena koma koma kabisa
Hii ya sharti lazima mshahara upitie kwao sifikiri kuwa Kuna kitu nyuma ya pazia sababu hii ni business strategies mtu anaekukopa awe na faida kwako angalau umuwekee masharti nje na riba watu wa biashara wanajua(how to win rivals)Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Hiyo miamala inapitaga BOT ndo inaachiwa..kama ni baada ya saa kumi jioni,hiyo hela itaingia the next day.Nadhani inategemea na benki zenyewe. Kuna mtu ametufanyia malipo halhamisi via TISS aliyafanya jioni kupitia equity.
Benki zote tukiwahi pokea kesho yake kufikia mida ya saa 7 ila nmb salio lilisoma jioni, mwingine sikumbuki bank gani likaja kusoma tena the next, next day. Wakati alifanya hivyo muda ule ule
Hiki ni kiburi wanapewa na mtu ona Leo salary imetoka wa wateja wao ila kwa wengine kimya what is the reason behindHii ya sharti lazima mshahara upitie kwao sifikiri kuwa Kuna kitu nyuma ya pazia sababu hii ni business strategies mtu anaekukopa awe na faida kwako angalau umuwekee masharti nje na riba watu wa biashara wanajua(how to win rivals)
Kwa issue ya mshahara kuchelewa kwa nmb na crdb kuwahi hapo Sasa ndo walakini