REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
- Thread starter
-
- #21
Ujui lolote zaidi ya force and demand tuliaHivi unajua Capital Investment ya CRDB Kwa Tz hii hata Serikalini? Au njaa zako tu unadhani kila kitu ni Topic? Shida akili zenu bado zipo Socialism akati dunia ipo Capitalism. Forces of Demand and Supply ndizo zina dictate Market.
Usiseme uhongo Mimi nipo CRDB na mshahara uliingia saa mbili usiku JanaWatumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya
Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan kwa mtumishi ambaye mshahara haupiti kwao hapa ndio maswali huibuka nani ana maslahi na hii bank
Uhongo!!!!!!!!!??? Mmmhhh!Usiseme uhongo Mimi nipo CRDB na mshahara uliingia saa mbili usiku Jana
Mkuu, kiswahili safi ni uongo sio uhongo.Uhongo!!!!!!!!!??? Mmmhhh!
😄😄 Wana JF Wote tuna mabiashara yetu tena makubwa makubwa mkuu,hawa wanataniana tu mkuu.Watu wa jamii forums wote si mmejiajiri hamtaki kuajiriwa, kumbe na ninyi mnalilia mshahara kuchelewa[emoji2]
Shida ya Umaskini ndio hii. Dunia ya sasa ulisikia serikali gani ina ingilia biashara? Unajua mkataba wa CRDB na Govt ukoje? Unajua muajiri bora nchini ni nani? Au una fikiria tu hicho kimshahara chako cha laki 6 tu ukajua ndio Fikira za Dunia ziliko? Bado una mawazo ya Kijamaa kuwa serikali ina Dictate everything! Wake up!Ujui lolote zaidi ya force and demand tulia
Ujui lolote nje ya mavitabu uliyoyasoma shule uku field mambo ni tofauti na ujuavyo nyamaza hii nchi usione hivi zaidi na ujuavyoShida ya Umaskini ndio hii. Dunia ya sasa ulisikia serikali gani ina ingilia biashara? Unajua mkataba wa CRDB na Govt ukoje? Unajua muajiri bora nchini ni nani? Au una fikiria tu hicho kimshahara chako cha laki 6 tu ukajua ndio Fikira za Dunia ziliko? Bado una mawazo ya Kijamaa kuwa serikali ina Dictate everything! Wake up!
Wewe sema una njaa tu. Sasa siku 1 tu utakufa?
Laki sita anaipataje mkuu.acha masihara kama hana mkopo na hajawahi kukopa hata load bord bas anachkua 513k.kama ana mkopo anabakiw a na 270k.akutanishe mwez mwingineShida ya Umaskini ndio hii. Dunia ya sasa ulisikia serikali gani ina ingilia biashara? Unajua mkataba wa CRDB na Govt ukoje? Unajua muajiri bora nchini ni nani? Au una fikiria tu hicho kimshahara chako cha laki 6 tu ukajua ndio Fikira za Dunia ziliko? Bado una mawazo ya Kijamaa kuwa serikali ina Dictate everything! Wake up!
Nmb ni kama.jeshi la magereza. Unatuhumiwa mika hata 3 then unaachiwa huru
hata mimi niko crdb mpaka muda huu amna kitu mshahara unatoka kwa mafungu mafunguMimi Niko CRDB mpaka muda huu salary haijasoma kabisa ,Ila Kuna Jamaa kanipigia Jana jion kuwa yeye kapata saa sita mchana na salary yake inapitia NMB.
Mi naona Kuna shida tu imeanza kujitokeza huko hazina ,tokea mwez wa 11 huu ujinga ulianza kujitokeza ,yaan badala ya kwenda mbele Zaid tunarud nyuma.
Note: hapa hakuna Cha upendeleo wa bank fulan Zaid kitengo Cha malipo hazina Kuna namna wameanzisha huu ujinga wao wa kusubirishana had kwa siku moja au mbili km kipindi Cha nyuma huko.
Utaratibu uliokuwepo ulikua mzuri Sana yaan salary ikianza kutoka saa sita mchana Basi kufikia saa moja jion au mbili usiku kila mtu anakua ashapata Ila kwasasa ni upumbavu tu unaendelea huko hazina
duu labda kuna tatizo la kiufundi ila hizi story kuna watu wamepata wengine bado naona kama uzushi tuu ngoja kesho tutajuaNiko crdb na mzigo haujasoma,kuna watu wako nmb na mzigo haujasoma pia...
Sent using Jamii Forums mobile app