Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, nimetikea kukitumia kwenye Mkoa Fulani, nilikuwa napata channel 70+ buree. Ila hapa jijini naona minara imefungwa hakikamati tena.Habarini za wakati huu wakuu
Niliona sehemu mtandaoni wanauna kadubwasha kanaitwa "HDTV Antenna" kana uwezo wa kupata idadi kubwa cha tv channels kwa kukaweka katika muelekeo fulani kama dish.Nimevutiwa kukanunua ila sina hakika kama kwa nchi ya Tanzania kanaweza fanya kazi au la.Kwa wenye uzoefu nacho naombeni tuchangie mawazo.
Asanteni.View attachment 1114192