HDTV Antenna

HDTV Antenna

Yes
Habarini za wakati huu wakuu

Niliona sehemu mtandaoni wanauna kadubwasha kanaitwa "HDTV Antenna" kana uwezo wa kupata idadi kubwa cha tv channels kwa kukaweka katika muelekeo fulani kama dish.Nimevutiwa kukanunua ila sina hakika kama kwa nchi ya Tanzania kanaweza fanya kazi au la.Kwa wenye uzoefu nacho naombeni tuchangie mawazo.
Asanteni.View attachment 1114192
Yes, nimetikea kukitumia kwenye Mkoa Fulani, nilikuwa napata channel 70+ buree. Ila hapa jijini naona minara imefungwa hakikamati tena.
 
Back
Top Bottom