myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Hapo sasa..Wakenya bhana wapo soft mno kamanda unaogopa private afanyaje sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa..Wakenya bhana wapo soft mno kamanda unaogopa private afanyaje sasa?
Kagame anakuzwa sana, mtu tumemfundisha wenyewe...Ungekuwa unajua mziki wa Kagame kwenye hili usingesema haya!
Kama umemfundisha nenda kamkamate!! Congo Waasi wana Silaha za Kisasa na Zana za Kivita lukuki , 1. Zinawafikiaje? 2.Wana magari Mafuta yanawafikiaje?3. Rwanda wana kiwanda cha kuprocess dhahabu japo awana machimbo yake- sustainability ya hichi kiwanda ina hakikishiwa na gold toka wapi? Ni hayo tu kwa sasaKagame anakuzwa sana, mtu tumemfundisha wenyewe...
Kwani Zimbabwe ni Tanzania? Kila kinachofanywa na Zimbabwe ni lazima kifanywe na Tanzania. Zimbabwe ilikuwa na wanajeshi hadi 12,000 ndani ya Congo kwa wakati mmoja na hiyo ilikuwa 30% ya jeshi la Zimbabwe tena wamekaa miaka mingi, wapi Tanzania iliwahi kuwa na wanajeshi hata 5,000 kwa wakati mmoja wakipigana sio kulinda amani, wapi Tanzania iliwahi peleka msaada wa Airforce, wapi Tanzania ilijitolea kupigana na wanajeshi wake zaidi ya 200 wakafa.Kwani Tanzania tumelipwa shingapi na Uganda, Msumbiji au Seychelles? Maana Marekani ikipigana huko Chad ila ikachota mafuta kupitia Exxon Mobil tunasema ni uporaji ila Kwa ngozi nyeusi tunasema wanafidia gharama zao!!
Kagame hajawahi fundishwa na Tanzania, labda tuseme Uganda kipindi ana RPF na Zimbabwe kipindi anaanza kuwa na jeshi la kisasa alipochukua nchi.Kagame anakuzwa sana, mtu tumemfundisha wenyewe...
Taarifa vyanzo vingine vya habari inasema serikali ya DRC yenyewe ndio ilitaka aondolewe. Ni mpuuzi au tuseme jeshi la Kenya limeenda kupiga picha hamna kitu linafanya. Tangu wameenda kule M23 inachukua maeneo kuliko hata wasingeenda, Wakenya kazi kupiga picha na kuita press.Ina maana anahofia hujuma kutoka ndani (ambazo ndio mbaya zaidi) kuliko kutoka kwa waasi hata wasiomfahamu vyema.
Na pia nimeona anapata watetezi wengi. Kamanda anayekimbia vita ni mlenda wa nazi kabisa.Ajira za upendelro na kujuana Vyeo vya kupeana kwa kujuana
Matokeo ndio hayo unakuta mtu.licheo kubwa kijeshi ukimpelreka vitani lioga kama kuku wa mdondo
Matokeo ndio hayo Mtuj jeshini apate kazi kihalali apite mafunzo kihalali na apande vyeo kihalali
Tatizo hilo ndilo limelight hata jeshi la Urusi hadi linakodi jeshi binafsi la Wagner liwasaidie
Ngoja tuone huyu atakuwa na jipya gani...Jana hiyohiyo Major General Alphaxard Muthuri Kiugu kateuliwa kuwa mkuu wa EACRF-DRC kujaza nafasi ya Major General Nyaghah
Na kuna baadhi ya vitu vilizuiliwa kuwekwa wazi kabisa peace keeping kweli ya kuisikia kuna mahali ilipigwa mizinga kwa mtindo wa triangle ilikuwa ni kwenda ku sweep tu ila wale jamaa walionyeshwa battle ipoje na Mzee.Congo pasikie tu, hivi vita na utitiri wa waasi ni mipango ya watu wengi wenye nguvu ndani na nje ya Africa.
Hasara ya kuwa na nchi kubwa isiyo na jeshi imara ndiyo hii. FARDC ina mamluki kibao na makamanda wengi ni wala raha tu.
Ukienda PKO omba Mungu umalize muda wako urudi bongo tu.
Miaka kadhaa Lt. General James Mwakibolwa aliwatwanga m23 vilivyo lakini ukatolewa waraka toka UN kuyataka majeshi yanayounda FIB( jwtz, sandf na malawi) yaondoe baadhi ya silaha uwanja wa vita ikiwemo mizinga na mifumo yoyote ya maroketi ( isipokuwa RPGs).
Its neither today nor tomorrow, this will stir to generations.
Sorry for women and children of Nord kivu ( North Kivu) 😭😭
Uganda, na walikufa zaidi ya hiyo elfu 5!!wapi Tanzania iliwahi kuwa na wanajeshi hata 5,000 kwa wakati mmoja wakipigana sio kulinda amani,
Hapana nashangaa double standards, yaani wazungu wakisaidia kupambana na waasi kama UNITA kule Angola au ISIS kule west Africa wakipewa mikataba ya kuchimba madini na mafuta tunasema wanaibia waafrika. Ila kwa Hawa Zimbabwe na Angola ambao walijichukulia tani za dhahabu tunasema ni halali sababu wanarudisha gharama za vita?? Why the double standards wakati ni Yale Yale tu.Kwahiyo mkuu unatetea hao wazungu kina Exxon Mobil kisa Zimbabwe? Hiyo ni whataboutism
"kwanini umeiba?" === "mbona na fulani kaiba"
Zimbabwe Ukiachana na operation kitona je walikua na mission Gani ngumu. Nachojua waliweka tu ulinzi Ili Rwanda asivamie Western Congo na maeneo ya dhahabu kama Katanga. Na vita ilipiganwa zaidi hapo Pweto na walipotoshana nguvu basi Kagame hakusogea.Tanzania ilikuwa na mission nyepesi pale Seychelles kwanza visiwa vidogo wakati DRC kubwa zaidi ya mara mbili ya Zimbabwe.
Amewahi soma briefly pale Monduli. Hii ilikua documented kwenye kitabu Cha Philip Rentyjens kuhusu ushawishi wa Nyerere kwenye vita ya DRC. Hivi unajua hata Wamba Dia Wamba alikua akiongoza vita ya Pili ya Congo kutokea Dar??Kagame hajawahi fundishwa na Tanzania, labda tuseme Uganda kipindi ana RPF na Zimbabwe kipindi anaanza kuwa na jeshi la kisasa alipochukua nchi.
Uganda ilikuwa ni vita, hapo Tanzania ilikuwa imevamiwa. Sitaki kuamini kama unatumia akili yako kulinganisha situation ya vita ya Uganda ambayo JWTZ ilikuwa inawajibika direct 100% dhidi ya situation ya operation ya Zimbabwe ndani ya DRC ambapo jeshi la Zimbabwe halilazimiki kufia hapo.Uganda, na walikufa zaidi ya hiyo elfu 5!!
Hapana nashangaa double standards, yaani wazungu wakisaidia kupambana na waasi kama UNITA kule Angola au ISIS kule west Africa wakipewa mikataba ya kuchimba madini na mafuta tunasema wanaibia waafrika. Ila kwa Hawa Zimbabwe na Angola ambao walijichukulia tani za dhahabu tunasema ni halali sababu wanarudisha gharama za vita?? Why the double standards wakati ni Yale Yale tu.
Zimbabwe Ukiachana na operation kitona je walikua na mission Gani ngumu. Nachojua waliweka tu ulinzi Ili Rwanda asivamie Western Congo na maeneo ya dhahabu kama Katanga. Na vita ilipiganwa zaidi hapo Pweto na walipotoshana nguvu basi Kagame hakusogea.
Zaidi ya hapo Rwanda alibaki tu Kivu, Maniema, Ituri, Equater basi hawakufanya counter offensive yoyote Kuelekea Kinshasa au Bas Congo. So walikua more of peace keepers hao Zimbabwe, je Ina justify kubeba migodi.
Nakumbuka Rwanda walipomsaidia Kabila walijimilikisha migodi Ili kufidia gharama za vita. Sasa Zimbabwe wanakuja kupinga Hilo suala kwa kufanya Yale Yale alafu unasemaje ni liberators?
Zimbabwe na Angola walinufaika mno na vile vita, na ndio ilikuwa njia ya serikali ya Kabila kugharamia Vita.....hata wavamizi pia (Rwanda na Uganda) waliiba mali za Drc.Uganda ilikuwa ni vita, hapo Tanzania ilikuwa imevamiwa. Sitaki kuamini kama unatumia akili yako kulinganisha situation ya vita ya Uganda ambayo JWTZ ilikuwa inawajibika direct 100% dhidi ya situation ya operation ya Zimbabwe ndani ya DRC ambapo jeshi la Zimbabwe halilazimiki kufia hapo.
Tanzania hata wangekufa wanajeshi milioni moja pale Uganda, ni vita yetu. Zimbabwe wametoka kwao kuvuka Zambia kuingia Congo kupigania nchi nyingine.
Zimbabwe hiyo operation Kitona unaona ni ndogo sio, na unajua mission objectives zao wakati wanaenda Congo na funding ya hiyo operation. Hawakuwa peacekeepers acha kudanganya, peacekeepers wanakuja na ground attack aircrafts? Peacekeepers wanakomboa mji mkuu na chanzo kikuu cha umeme?
Hakuna justification ya Zimbabwe kubeba madini ila yalikuwa ni makubaliano baina ya DRC na Zimbabwe. Kwa bajeti gani Zimbabwe ingeweza endesha ile expensive operation miaka kadhaa vile vikwazo vya kiuchumi?
Unatafuta kuhararisha wizi na unyonyaji hapo Congo kwa kujificha nyuma ya "mbona Zimbabwe waliiba"
nakubaliana na weweZimbabwe na Angola walinufaika mno na vile vita, na ndio ilikuwa njia ya serikali ya Kabila kugharamia Vita.....hata wavamizi pia (Rwanda na Uganda) waliiba mali za Drc.
Kwa Zimbabwe ilikuwa Vita ya kujitakia tu (japo waliingia kwa mwavuli wa Sadc) na ilikuwa njia ya wao kutumia mali za Drc kukwepa makali ya vikwazo hivyo askari wa Zimbabwe na maafisa wao walitajarika huko.....kwa Angola waliona Kabila akiondoka huenda watawala wapya wakatoa hifadhi kwa UNITA (japo nao pia waliingia kwa mwavuli wa Sadc na walinufaika mno na mali za huko.
Ule ulikuwa ni msaada kwa Drc, ila gharama Drc walilipia wenyewe....au tuseme waliununua.
zitto junior mtu chake
Acha siamba wewe huyo mtu yupo exaggerated tuu ni mwepesi kama wembamba wake.Ungekuwa unajua mziki wa Kagame kwenye hili usingesema haya!