Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya

Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili

Naombeni tips niishi nazo 2025
 
1. Afya yako ya akili unaitunza kwa kuepuka kufanya mambo ambayo hayatakutengenezea hali ya uraibu.
2. Kukubali uhalisia na usijiumize kwa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako.
3. Epuka madeni
4. Ishi kadri ya uwezo wako

Afya ya mwili
1. Kula kwa muda.
2. Fanya mazoezi
3.Epuka tamaa &jifunze kujicontrol
5.usipime kwa macho.
 
Shukrani naenda kuscan hii comment
 
1. Afya yako ya akili unaitunza kwa kuepuka kufanya mambo ambayo hayatakutengenezea hali ya uraibu.
2. Kukubali uhalisia na usijiumize kwa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako.
3. Epuka madeni
4. Ishi kadri ya uwezo wako

Afya ya mwili
1. Kula kwa muda.
2. Fanya mazoezi
3.Epuka tamaa &jifunze kujicontrol
5.usipime kwa macho.
Umeipatia hii ni elimu kubwa umetoa
Cha kuongezea
1.Kunywa maji ya kutosha
2.Kula nutrient food.
3.Kupunguza junk foods k na bidhaa zenye sukari nying hasa za viwandani
4.kupata muda wa kupumzika pia
 
Lastborn rekebisha hapo no 3,serikali yenyewe ina madeni,binadamu yeyote ni muhimu kuwa na deni stahimilivu ili liwe linachangamsha akili isiwe dumavu😅
 
Naam, kwa kilugha wanasema, "You are what you eat".

Afya yako ndio mtaji na inaanzia kwenye ulaji wako!
- Jua kila kitu kuhusu wewe, weight, height, age na nutritious meal routine kwako.

Jiweke karibu na Muumba wako!

Ongeza juhudi kwenye kuupasha mwili joto.

Baaaasi, the rest mkabidhi mwenyewe, subiri matokeo!
 
Lastborn rekebisha hapo no 3,serikali yenyewe ina madeni,binadamu yeyote ni muhimu kuwa na deni stahimilivu ili liwe linachangamsha akili isiwe dumavu😅
Kama n hivyo sawa dada mkubwa acha lastborn nikakope wakubwa zangu mtanisaidia kulipa nikishindwa😅
 
Umeipatia hii ni elimu kubwa umetoa
Cha kuongezea
1.Kunywa maji ya kutosha
2.Kula nutrient food.
3.Kupunguza junk foods k na bidhaa zenye sukari nying hasa za viwandani
4.kupata muda wa kupumzika pia
Hapo uhakika hiyo point 3 nayo n muhimu sana.
 
Kama n hivyo sawa dada mkubwa acha lastborn nikakope wakubwa zangu mtanisaidia kulipa nikishindwa😅
Tuko na wewe!Huko Somalia ukitaka mkw unaulizwa status yako ya madeni ukiwa na clean sheet hupati mke unaonekana mzembe mtoto wao atalala na njaa😂😂😂
 
Mi sio mtaalamu wa afya, ila kitu kimoja najua kwa hakika... kupiga ny£to 2025 hii sio unyama, achia huo ujinga kwa wapuuzi ambao bado wame stuck 2024.
 
1. Afya yako ya akili unaitunza kwa kuepuka kufanya mambo ambayo hayatakutengenezea hali ya uraibu.
2. Kukubali uhalisia na usijiumize kwa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako.
3. Epuka madeni
4. Ishi kadri ya uwezo wako

Afya ya mwili
1. Kula kwa muda.
2. Fanya mazoezi
3.Epuka tamaa &jifunze kujicontrol
5.usipime kwa macho.
Mkuu,
Unawezaje kuishi bila madeni? Kwamba upo free hudaiwi hata kidogo.?
 
Kama serikali yetu sikivu ina deni stahimilivu...sisi ni nani tusiwe na deni...Happy new year shem darling
Binafsi nakopa kwa kujiamini kabisa, najua serikali yangu itanilipia niki-default🤣🤣🤣

Imekuwaje nakuwa shem wako? Ni huyu mzee mwenzangu Grahams au ni yule kijana @glenn? 🤣🤣 sikubali
 
Back
Top Bottom