Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

Mweeeeh! Babu hebu niache!
Hahaha................basi nitaongea na Mzee mwenzangu akupatie ahadi ya kukupa Dunia tu

Inaonekana hizi ahadi ndogo ndogo huzitaki 😜
 
Treat your body with kindness, kila kitu kiwe kwa kiasi, unakuta mtu ana wanawake dozen 😷 halafu lishe mbovu
 
Back
Top Bottom